Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In 2024 remittance flows from Tanzania to Kenya amounted to approximately US $6.9 million, making Tanzania the largest African source of remittances to Kenya that year .


hivi how much does Tanzania get from kenya

🤣🤣🤣🤣
Mbona ndogo $6.9 mln tu?
 
Mama akilegeza kamba nitamdharau!
Ila kuihalisia hua tulisema foreigners tunamaanisha kwamba ni non-east Africans.

East Africans and SADC member citizens huwa Wana privilege siku zote!! Wakenya hawato katazwa...tatizo wamepanic sana.
 
Ukiachana na hizi domo domo nyingi, in reality kenya imeipiga Tanzania double double kwenye kila sector
1000058848.jpg
1000058849.jpg
 
Ila kuihalisia hua tulisema foreigners tunamaanisha kwamba ni non-east Africans.

East Africans and SADC member citizens huwa Wana privilege siku zote!! Wakenya hawato katazwa...tatizo wamepanic sana.
Acha wajivuruge ili tushughulike nao vizuri. Hata ukija kwenye domestic tourists wao huhesabiwa kama watu wa ndani hata records huwa zinaonesha ni wageni wa ndani
 
Sisi hata Marekani kabla hajakoroma huwa anasikiizia upepo.

Tulidinda na WEST enzi za NAM, ndio tubabaike na kinchi kama Kenya.

Tulivunja mahusinao na Israel, tuakitambua Palestine na West Sahara ndio tubabaike na Kenya.

Kenya hata Visa tu, Wamarekani hawalipi, kwa Tanzania wanalipa $100 na hakuna kitu wanafanya.

Juzi tu hapa Ruto alienda China, akaanza kupigwa mikwara na Marekani, wakati Tanzania hakuna mhuni anasema kitu.

Anayetaka aje asiyetaka basi.
Sisi huwa tuna balls za ku wa tell off hawa westerners na wanajua hawawezi kutufanya kitu chochote. Angalia hii hapa ya juzi tuu. They know we as a country have our own independent mind and don't take instructions from no one in this globe. 👇

View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=4XGUO7djKhyv-Kkv
 
Back
Top Bottom