President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kwa mpira wa leo niliouona, wengine tutawagonga hata 10.Hili kundi tunazifunga timu zote
Kwa mpira wa leo niliouona, wengine tutawagonga hata 10.Hili kundi tunazifunga timu zote
Wafanya biashara wenyewe wa viatu na nguo wanakuja kustock kariakoo kwakua kwenda China ni gharama na hapo Tanzania ni cheap.Hii kitu ni ya moto moto sana. East, Central and South Africa inahamia hapa. Kimya kimya hatupigi kelele. Tutakuja kuwatisha tu mwaka mmoja tutaweka Budget yetu $100B ndio watakapochanganyikiwa
Hasta hatuna issue hapo. Nyie mkitaka shida kombe. Sisi ni kuwatch ball kusell nchi na kuwa entertained.Teargass nairobae furaha yenu imezimika kama mshumaa. Kenya imekaa top dakika 86 tu.
View attachment 3430180
Watanzania ebu tuonyeshe attendance ya Game ya Madagascar Vs Mauritiana 😂😂🤣
View: https://x.com/bonfaceosano/status/1952039895897178220?t=82KflcfOU9o-k1JHiLCq1Q&s=19
Sisi siyo washamba wa football. Kwenu ni mara ya kwanza International Teams kuja ndio maana mnashangaa sana.Hasta hatuna issue hapo. Nyie mkitaka shida kombe. Sisi ni kuwatch ball kusell nchi na kuwa entertained.
Today at KICC
View attachment 3430231
Meanwhile in Today's match at Mkapa
View attachment 3430232
Let me say, nothing like this has ever happened before. Yarabi!!!!
Pesa ya kuenda kuwatch ball ndio hamna😂😂😂🤣Sisi siyo washamba wa football. Kwenu ni mara ya kwanza International Teams kuja ndio maana mnashangaa sana.
Hivi vituko only poor and primitive countries. Modern Countries kama Tanzania huwezi onaPesa ya kuenda kuwatch ball ndio hamna😂😂😂🤣
Watanzania ebu tuonyeshe attendance ya Game ya Madagascar Vs Mauritiana 😂😂🤣
View: https://x.com/bonfaceosano/status/1952039895897178220?t=82KflcfOU9o-k1JHiLCq1Q&s=19
KwikwikwikwikwiThis Chan is going to expose Tanzania to a lot of things. Hile kelele Yao ya Sisi tunapenda football na wakenya hawapendi lazima iishe.
View attachment 3430241
You don't have a tower with helipad like that in Tanzania so don't expect to see things like those.Hivi vituko only poor and primitive countries. Modern Countries kama Tanzania huwezi ona
View attachment 3430239
Kwan haufahamu mliingia fungulia mbwa, au wew haupo Kenya😅Ntakuambia wanatafuta empty seats Kasarani kwa torch🤣🤣😂.
Ju hamna pesa ya kulipia viewing decks. Maskini ni maskini tu.Hivi vituko only poor and primitive countries. Modern Countries kama Tanzania huwezi ona
View attachment 3430239
Maskini anangoje aambiwe aende atazame ball bure🤣🤣😂😂Maskini with no disposable income hawawezi jaribu. 🤣 🤣
Hawa mambwa wametuaibisha walai, I hope Uganda hawatatuaibisha hivi.Kenya today for game sio ya Harambee Stars
View attachment 3430236
Makwapa today for game sio ya Taifa Stars.🤣🤣😂
View attachment 3430237
Usilazimishe tukuwe na nyinyi wenye mlishindwa kulipa 50 bob ya gate charges.Kwan haufahamu mliingia fungulia mbwa, au wew haupo Kenya😅
Zile kelele zao lazima zimalizwe😂😂Hawa mambwa wametuaibisha walai, I hope Uganda hawatatuaibisha hivi.
Kupenda mpira wa miguu ndo ukaangalie mechi yoyote?This Chan is going to expose Tanzania to a lot of things. Hile kelele Yao ya Sisi tunapenda football na wakenya hawapendi lazima iishe.
View attachment 3430241