Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ju hamna pesa ya kulipia viewing decks. Maskini ni maskini tu.
Watu wenyepesa wa risk maisha yao kama hapa 🤣 🤣 🤣 🤣 Naona wamevunja ma dish ya TV. Watu hawana msosi Njaa unawauma

1754250665973.png
 
Ni kawaida, nyinyi mnataka kuprove😂 sis tunaishi maisha yetu, mechi yenye uhitaji wa kujaza uwanja utaona inakuaje😄
Mlishindwa kujaza Stadium jana. So acheni kujidanganya ati mnapenda mpira.
 
Ni kawaida, nyinyi mnataka kuprove😂 sis tunaishi maisha yetu, mechi yenye uhitaji wa kujaza uwanja utaona inakuaje😄
Excuse after excuse till you do it then all of a sudden hatutapua kwa jukwaa.. ( I remember apartments and malls)..😁😁
 
It's clear based on your statement you have never been on an observation deck. Mshamba ni mshamba tu.
Hamuwezi kuwalipa watanzania. Dreams za wakenya ni kuja kuchezea Tanzania na Kufanya kazi Tanzania. Kenya is Mexico and Tanzania is USA. Fact - Tukikohoa kidogo mtu mnakufa njaa

1754251340164.png
 
Back
Top Bottom