Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mimi nashangaa. Kuna Wahindi wengi sana Tanzania, waarabu, wachina, wakongo nk kwa nini Kenya pekee ndio wanalalamika? Wanajiona nani haswa hadi ban isiwahusu?
Inaonekana Kenya ilikuwa silently benefiting from Tanzania than we are benefiting from them.
licha ya kua walikua wana benefit sana ila hawa jamaa wanaiogopa sana tanzania yani wanaihofia sana hasa kiuchumi na kimaendeleo hawana amani kabisa 😂

yani tungepata rais kama magu hvi akakimbiza miradi na kua mkali hasa kwenye mali za umma bro tungekua mbali sana
 
The Karasani stadium, huu ndio wanafananisha na Ben Mkapa 😃😃😃
View attachment 3431541
Hapa wamefukia nini? 😂😂😂😂 au washavuna mihogo 😂😂😂😂

IMG_9701.jpeg
 
Unaona unavyodhihirisha ujinga wako!?
Yes it is true not all cars are assembled.
So you want to tell me all cars are assembled!?
😂😂😂 Oneni hii nguruwe pori!
Kule juu ulisema kuwa gari zote huwa zinaundwa kwa mfumo wa assembly Yani parts zinachukuliwa sehemu tofauti na kuunda gari,nikakukatalia BIG NO.
Mfano Hilux imeundwa Japan na parts zote zimeundwa Japan kuanzia engine hadi body fibre.
Kenge hii mbugila tope mmoja.
Kwahiyo unataka kusema all cars are assembled!?
😂😂😂Jamani oneni hii mbugila tope.
Ebu tuambie ni gari hio haitengenezwi kwa assembly line tukucheke sahii. 🤣 🤣 🤣
Najua leo ndio umejua kuna vehicle parts manufactures kama Aisin, amabao wanatengeneza parts for many vehicle brands, which are sent to the assembly plants to produce a car. Eti unatuambia gari kila kitu inatengenezwa in one factory, eti parts haziundwi kando kama ndege. 🤣 🤣 Kwani huko bongolala kila mtu ni mshamba.

ScreenShot Tool -20250804235428.png
AEIL Products - AISIN Illinois
 
na yet bado munaagiza fortuner kwa wingi kutoka japan 😂😂😂😂

leta statistics mulizalisha fortuner ngap na kuuza ngap annually 😂😂😂

hao wana assemble by orders tu
You don't assemble a single passenger car in bongoslum. 🤣 🤣 🤣 Ile siku muta assemble hata IST kuja na hizo maswali zako za kipuzi.
 
Ebu tuambie ni gari hio haitengenezwi kwa assembly line tukucheke sahii. 🤣 🤣 🤣
Najua leo ndio umejua kuna vehicle parts manufactures kama Aisin, amabao wanatengeneza parts for many vehicle brands, which are sent to the assembly plants to produce a car. Eti unatuambia gari kila kitu inatengenezwa in one factory, eti parts haziundwi kando kama ndege. 🤣 🤣 Kwani huko bongolala kila mtu ni mshamba.

View attachment 3431584
AEIL Products - AISIN Illinois
Ona huyu nguruwe pori!
Tena ukatumia AI kama vile chanzo Cha taarifa.
Na ulivyo hujielewi,Aisin ni Japanese corporation.
Pia Toyota Ina manufacturing ya car components ndani ya Japan humo humo.
Pia nadhani maana ya assembly industry hujui uende ukajifunze.
 
Sio kila kitu AI we pumbavu, today I will school you by force.

Sio kila kitu AI we pumbavu, today I will school you by force.

Nikupe somo la mwisho mpuuzi wewe.
Hizo kampuni ulizoleta kwanza zingine ni za Japan. Pia Toyota Wanaunda car components wenyewe pia.
Moyo wa gari ni engine na chassis.
Hizo components zingine ni sawa na semi-raw materials za kulikamilisha gari.
Ilhali wewe Kenya Kila kitu unachukua kikiwa finished components unapachika kuunda gari.
 
Back
Top Bottom