Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You don't assemble a single passenger car in bongoslum. 🤣 🤣 🤣 Ile siku muta assemble hata IST kuja na hizo maswali zako za kipuzi.
leta statistics hapa mulishindwa ku assemble probox na ziko over 80% ya gari zote kenya 😂😂😂😂😂

CFAO hafanyi aseembling isipokua kwa order ni kama vile AVA anachofanya

haya tuambie so far wakenya wangap wanatoa orders hapo zaidi ya zile international companies na watu wachache sana, wote munakimbilia japan kununua used cars
 
Nikupe somo la mwisho mpuuzi wewe.
Hizo kampuni ulizoleta kwanza zingine ni za Japan. Pia Toyota Wanaunda car components wenyewe pia.
Moyo wa gari ni engine na chassis.
Hizo components zingine ni sawa na semi-raw materials za kulikamilisha gari.
Ilhali wewe Kenya Kila kitu unachukua kikiwa finished components unapachika kuunda gari.
Toyota is the largest automobile manufacturer by volume, watakosaje kampuni za kutengeneza car parts for their assembly plants. Si nilidhani ulituambia gari hazikui assembled zinatengenezwa kila kitu kwa factory moja kama peremende. Naona umeanza kuchanuka sasa hadi umejua kuna plants za kutengeneza engine na other components. 🤣 🤣 🤣
 
leta statistics hapa mulishindwa ku assemble probox na ziko over 80% ya gari zote kenya 😂😂😂😂😂

CFAO hafanyi aseembling isipokua kwa order ni kama vile AVA anachofanya

haya tuambie so far wakenya wangap wanatoa orders hapo zaidi ya zile international companies na watu wachache sana, wote munakimbilia japan kununua used cars
Muna assemble passenger car gani huko bongoslum?
 
IMG_7585.jpeg
 
Back
Top Bottom