chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Hapa ulikua unajaribu kuniuliza maswali ama.?Wewe ukilaza na blind patriotism yamekufikisha pabaya! Mombasa unawezalingsnisha na mji gani Tanzania ukiondoa Dar? In terms of infrastructure, built up area, economic significance, na mambo mengine kama hayo can Mwanza or Arusha compare with Mombasa?
Mombasa inazidi Arusha na Mwanza idadi ya ghorofa tu basi. Hamna kingine cha maana huko MombasaWewe ukilaza na blind patriotism yamekufikisha pabaya! Mombasa unawezalingsnisha na mji gani Tanzania ukiondoa Dar? In terms of infrastructure, built up area, economic significance, na mambo mengine kama hayo can Mwanza or Arusha compare with Mombasa?
Utanganyika ni garamaHapa ulikua unajaribu kuniuliza maswali ama.?
Mombasa is a tourism hub and only Arusha (as a region, not as a town) comes close. Mwanza hata haijui tourism ni niniMombasa inazidi Arusha na Mwanza idadi ya ghorofa tu basi. Hamna kingine cha maana huko Mombasa
ww unajua tanzania iliwasaidia wachina chakula those days au hujui history kasome history alaf uje hapa 😂😂😂A PPP… ok .. na Mkapa ni nini ?… chakula ya bure kwa maskini …😁
Problem is not the domestic flight. Shida ni kwamba watanzania hawana pesa ya kupanda ndege. JNIA served 1.4M domestic passengers last year, that's lower than what Kisumu airport did last year at 1.6M with only two destinations (Nairobi & Mombasa)2.7million good numbers 2025 we will be around 3million plus
Now kuna flightlink na inazidi kukua precision kaongeza ndege so the domestic numbers will be up
Air Tanzania still growing it has added Kinshassa and likely Lagos and Kigali this year so international numbers will keep going up , need to add more routes and planes to make it a better hub
Btw how many pax did Mombasa get last year
Siyo pesa ya umma, mwenye nayo kaona mwenyewe chaguo lake.Electric buses really? Na mbona si LNG? Tunaigaiga bila kuangalia ni kipi kinatufaa zaidi based on our environment?
ndivo alivokudanganya ww au ww unajua source ya utajiri wake au unajua pale kawekwa na mwanasiasa gani agombee ndio maana akili zenu ni kama kondoo, yani huyu hawez kugombania unlesa nyuma yake kuna big fish anaemtuma ndio anampa everything 😂😂😂😂😂😂Yaani mtu ni tajiri kwanza sasa anataka kukua mwanasiasa.., yaani ukilaza ni laana walai., jamaa kesha tengeneza pesa, sasa ni power ndio anatafuta, sio kama Tanzania mtu anaingia siasa kama ni fukara kisha anajitajirisha kupitia ushuru za mafukara.., soma tena what u posted hehehehe.., ulichanganyikiwa kitambooo!
Anakuambia Arusha airport iko busy yet it only serves 200k passengers in a year😂😂🤣😂Na bado ukiweka hizo zote pamoja hazifikii Nairobi.
tulia mzee watu wanataka kupiga pesa subiri pesa ziliwe alaf utauliza baadae😂Electric buses really? Na mbona si LNG? Tunaigaiga bila kuangalia ni kipi kinatufaa zaidi based on our environment?
Nakumbuka akisema ati tunabebwa ufala na Ruto na hakuna Stadium inaezajengwa within 18 months🤣😂😂.
Yeah, this is true.Lamu will soon beat Mombasa to become the second busiest port in Sub Saharan Africa.