President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Nipo Online na chat nao. Mpaka hawa ma kanjanja wateme bungo
Endeleeni kujidanganya wangese nyie191 usd wakati mwalimu wa primary analipwa less than 100 usd, unaona watu hapa ni mang'ombe kama wewe
mwambie atuoneshe hio airbus inayobeba 600 paseengers 😂😂😂😂
Anatafuta salary ya living in housemaidUtatafuta prompt unavyoweza ili uzipate.
Umeelezwa kabisa Public Servant Salary Minimum ni Tsh 500,000. Unatafuta Salary ya vitu ambavyo siyo official?
Kwikwikwikwikwi Tell us in Agriculture what do yo mean?
Tukiachana na hilo Hussein Mwinyi ni very visionary leader kuliko huyu kibibi tuliyenaye.Kuna uhuni umefanyika.
Deni kutoka 256 billion mpka 56 billion.
🤔🤔🤔Mi sikujua kumbe Tz tunamiliki Airbus A380
View: https://youtu.be/ZL-4vDChhYM?si=pB3ndhy4T0yGNaJy
Dar es Salaam inabadilika na kuwa mji wa kishua aisee, Vitu kama hivi niliviona S.A 🔥 Soon tutaanza kushuka hapo na BRT buses.
Impressive for Kenya 🇰🇪 to perform like this in the group of death … whereas wengine wa “ football nation” wana struggle in the weakest group of the tournament..😁😁Oohhh Kenya wako kwenye kundi ngumu sana, hawatapata hata pointi moja. Nyef nyef, we are on top of the table. Hahaha Ile Morocco mulikua munasema itatupiga ndio hio sasa inakuja Dar is a slum. 🤣🤣🤣
View attachment 3444231
ntv.co.ug
Kweli wewe ni jobless, huna kazi ya kufanya?🤣🤣🤣
Ati Beatrice Alex ?.. ni mrembo wa UK au TZ ..😁😁… she’s very cute though …Anaitwa Beatrice Alex Miss Grand Tanzania - Miss Grand 2025 Dar es salaam
Beatrice Alex Akyoo, A 25 year ol
holding a Bachelor of Arts in Fine Arts and Design from the University of Dar es Salaam, With her singing Talent.
Atatuwakilisha Miss Grand International 2025 itakayo fanyika Bangkok, Thailand, on 18 October 2025. Kenya bado sana
View attachment 3443924
View attachment 3443931