President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kwa kenya, Tanzania ni UK yenu. Karibu UK ya wakenyaAti Beatrice Alex ?.. ni mrembo wa UK au TZ ..😁😁… she’s very cute though …
Kwa kenya, Tanzania ni UK yenu. Karibu UK ya wakenyaAti Beatrice Alex ?.. ni mrembo wa UK au TZ ..😁😁… she’s very cute though …
Tanzania tulikamilisha ujenzi wa Mkapa Stadium 2005, ambayo ni kubwa kuliko viwanja vyote kenya past and future
View: https://youtu.be/ZL-4vDChhYM?si=pB3ndhy4T0yGNaJy
Dar es Salaam inabadilika na kuwa mji wa kishua aisee, Vitu kama hivi niliviona S.A 🔥 Soon tutaanza kushuka hapo na BRT buses.
Logistics centre iko Morogoro road, hio hapo juu ipo Nyerere road. Najua umeona BRT lanes ukajua ni same location. Dar major roads zote sasa hivi zina BRT I.e 6 lanes plus service roads.Mara ni logistics center Mara ni Mall . Please pick one Jameni and stick to it ..😁😁
Bruh are you horny or something?! Why you posting females that you don't personally know? WeirdoHuyu anaitwa Zaiylisa Wakenya wanakodoa macho tu, wanakula kwa macho. Wanawake wa kenya sura mbaya kama baba zao
View attachment 3442899
Typical Bongolalas hawapendi ukweli.😂😂😂
Hapo si ni Nairobi?Tatu pekee. 👏 Mumejaribu lakini.
Hiyo $100 unamlipa wewe!! Nyang'au hii!!!191 usd wakati mwalimu wa primary analipwa less than 100 usd, unaona watu hapa ni mang'ombe kama wewe
Huyo farmers ni mtanzania pure mgogo wa huko DodomaTukiwaambia all those farms products coming to Kenya are farmed by Kenyans in Tanzania hakuwa mnaamini.
Sasa unaona vile mnalia after kugundua?😂😂🤣.
Tena ni Westlands. Nilisikia mtu anasema ni zaidi ya Posta 😂😂.
That was 20 years ago. Wao ndio wanapata vibe la football leo! 🤣🤣🤣Tanzania tulikamilisha ujenzi wa Mkapa Stadium 2005, ambayo ni kubwa kuliko viwanja vyote kenya past and future