President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Dadadala za mbagala tu zinaibeba Nairobi nzima , hawa tukiwaambia kuna watu wanafleet mpaka za mabasi 100 hawatakibaliAti matatu Politics. Yaan kenyan state inashindwa kufanya Maendeleo kwa kuogopa few individuals. Au mmeshakuwa failed state. Yaani wananchi wa Nairobi zaidi ya 5 million wateseke kwa sababu ya matatu owners less than 50 people
Si mje mjifunze Tz, wanafanyaje na daladala owners. Come and learn. Keshokutwa hapa daladala za kilwa road zinaondolewa wakiintroduce BRT system phase 2, njoo mjifunze latra wanavyowaacommodate bila manunguniko.
Tatizo mna ego. Badal ya kucalm down na kulearn mnaanza fake propagandas against your neighbours
That is an underpass, the sidewalk is above you idiot.Haya turudi kwa mada sasa. Show us sidewalks hapa π
View attachment 3448939
Your 3 stadiums in Dodoma, Arusha and Zanzibar all have a running track. I have personally been to one of them. You've probably been to none.π€£π€£ unaeza tuonyesha any 20k seats capacity in Tz enye tunajenga kama unavyodai.?
Mimi nitakuonyesha uwanja kama huo tunaojenga with no running track. π€£π€£
Media =/= Factual. If that still eludes your comprehension, then perhaps this discussion is beyond you. The current CBD of Nairobi is defined by Haile Selassie Avenue, Moi Avenue, University Way, and Uhuru Highway. Once the Railway City project is completed, the CBD will be expanded to encompass Upper Hill, Railway City, the Kijabe Street area, the University of Nairobi Main Campus, and Commercial (The area between Moi Avenue and Kirinyaga road where Kenya Archives currently sits). There it isβlaid out plainly for you.Tulia wew. Unabishana na media zenu.
Subiri nakuletea thika road yako bila sidewalks
I never said all your villages are like that but I have seen many villages in Tanzania like that - something you won't find in Kenya.Ati farmland ni tofauti homes. Wew umetembea Tz yote ukaja na hii point. Kwamba kenya hakuna sehemu farmland ni tofauti na homes?
Hiv wew jamaa kwa nini ni mpumbavu kiasi hiki?
Hebu Tazama hii video
View: https://youtu.be/hj0NkoMQ8dg?si=FDtB5i4a5twy3qEv
talanta is 48k cry then πππWas 60k on record till recent when numbers got twisted after Talanta capacity was announced. Anything to satisfy your vulnerable, delicate and soft egos .
Dar es salaam TanzaniaMAPOKEZI YA MELI YAKIJISHI YA KIRUSI SIO MCHEZO! JIONE MWENYEWE MELI YAKIJESHI IKOJE & SILAHA ZAKE! - WANAJESHI ZAIDI YA 150 walienda kusoma Urusi
View: https://youtu.be/-Cya3_l09GI?si=rC3plhMxxH3YCxP0
Which Kenya are you talking about?I never said all your villages are like that but I have seen many villages in Tanzania like that - something you won't find in Kenya.
I see it looks asymmetrical,Daily dose
Sawa Mtombwe. Unaijua Kenya kunishinda.Which Kenya are you talking about?
Shida hamtembei hata Kenya.
Villages za Kenya hizi za Tana River, Lamu, Kilifi, Mombasa, Malindi, ???
How's the going now? π€£ π€£ π€£So far the 1st half stats
View attachment 3449068
Tayari mmewapulizia ChloroformHow's the going now? π€£ π€£ π€£
You know something called optical illusion? You see that ring around the stadium? It is the curtain walling that also acts as the roof structural support. It is incomplete on one side and creates an optical illusion that gives the stadium an aymetrical shape. Satisfied?I see it looks asymmetrical,
Hakuna kitu kama hicho kwasababu mimi nipo kwa hii industry kwa ukubwa sanaTukiwaambia all those farms products coming to Kenya are farmed by Kenyans in Tanzania hakuwa mnaamini.
Sasa unaona vile mnalia after kugundua?πππ€£.
Kaka Shackman nazikubali sana. Tupo nazo huku kwenye migodi, zinanguvu balaa. Zinatoka kwenye pit kwa speed kama zipo kwenye mteremko