Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uko na shida ya low self-esteem na low confidence,any challenge unakimbilia slums tu kujifariji,huna lingine.
🤣🤣🤣
Aliyeanzisha mada ya informal settlement sio wewe ? Ulitaka au ulitaka ujibiwe kwa post za athi river.
Hiyo inaonesha kuwa hamjiamini , mnataka kuficha umaskini wenu,
Tukija kwenye comparison slums zinabeba 2.5mil yaan karibia 60% ya total population ya Nairobi .
Hapo hatujaja kwenye unplanned settlemt zenu sasa
 
Uko na shida ya low self-esteem na low confidence,any challenge unakimbilia slums tu kujifariji,huna lingine.
Kama hamyapendi ma slums si muyavunje alafu muone familia zitakazokaa mtaani zikiwa homeless, robo tatu (¾) ya wakazi wa nairobi hasa wakenya weusi ni slum dwellers, ndo mana mna mahasira muda wote. Hata wewe uliyeandika hapa kwa asilimia kubwa ni slum dweller.
 
Back
Top Bottom