Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Isiolo - Mandera over 700km
Isiolo -Garissa - Lamu over 500km
Zote zinajengwa concurrently, si hua munasema Kenya hakuna projects. 🀣🀣🀣 Ebu tuonyeshe ni wapi bongoslum munajenga highway ya 1200km ju tayari tumeona muna highway ya 500km ya vumbi. 🀣🀣🀣


View: https://x.com/FCDCKenya/status/1960919277847896377?t=EdKjgJBriePY5pg79gnFNg&s=19

View: https://x.com/lapsset/status/1950530637401645403?t=fMl1oASLOI89EwXn1_WYCg&s=19
 
aise very interesting jamaa wako very serious na nchi yao sio sisi tunasumbuana na kina abduli na sijui mtoto wa kizinga kumiliki magari ya kifakhari bila hata kueleweka pesa wamepataje in just 3 yrs πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»

note: moja kati ya gari hzo ni bugatti chiron thamani yake ni 20b tsh achilia mbali over 20 expensive cars sijui RR, G wagons, lamboghini etc

haya akili kichwani kwetu sasa tuendelee kuhangaika na mchawi wetu alieturoga
 
sio kweli acha kutudanganya punda wwπŸ˜‚πŸ˜‚
Ebu tuonyeshe port yenye iko na uncountable containers tujue ni gani hiyo. Only mwenye hajui maana ya countable kama wewe ndio anaezapingana na my statement.
 
Wanavyo piga kelele sasa kwenye mitandao. Kwenye top 10 hakuna timu hata moja ya kenya iliyo na followers wengi Instagram

Top African clubs by Instagram followers (current):


  1. Al Ahly (Egypt) β€” 12M. Instagram
  2. Simba SC (Tanzania) β€” 8M. Instagram
  3. Raja CA (Morocco) β€” 4M. Instagram
  4. Young Africans / Yanga SC (Tanzania) β€” 4M. Instagram
  5. Zamalek SC (Egypt) β€” ~2M (Instagram rounds; third-party est. ~2.5M). InstagramHypeAuditor.com
  6. Wydad AC (Morocco) β€” 2,350,958. Instagram
  7. Azam FC (Tanzania) β€” 2M (third-party est. ~2.2M). InstagramHypeAuditor.com
  8. Pyramids FC (Egypt) β€” 1M. Instagram
  9. Kaizer Chiefs (South Africa) β€” 1M. Instagram
  10. Mamelodi Sundowns (South Africa) β€” 1M. Instagram
  11. Orlando Pirates (South Africa) β€” 962K.
  12. MC Alger (Algeria) β€” 728K. Instagram
  13. Club Africain (Tunisia) β€” 426K. Instagram
  14. USM Alger (Algeria) β€” 387K. Instagram
  15. EspΓ©rance ST (Tunisia) β€” 385K. Instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…