NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Huyo Rostam mmoja mwenye mmekuwa mkimsherehekea humu eti mna matajiri watainunua Kenya leo hii mnalia eti anawaibia. 🤣 🤣Hizi ni gas za Rostam Azizi, fisadi na sio maduka na vyakula kama njaa zenu. Watu wanadeal na mafisadi na bisghara zao tu na sio kama vyovyio njaa kali.
BTW, ni wewe na bongo-live pekee ndio bado nko in denial. Wengine wamekubali mambo yalivyo na wamemeza hayo mambo yenu ya kuchekelea maandamano yetu.