Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

njooni muichukue zanzibar na watu wake pia wawavuruge, sisi tuna visiwa vingine vya kutosha kama mafia na vinginevyo ...
Kwanza hata iweje, Zanzibar hawawezi kukubali kuungana na Kenya
Kumbuka Zanzibar walivyo na udini, kidogo Watanganyika tumechanganyika Wakristo kwa waislamu, so Wazanzibari wanajihisi free wakija Tanganyika. Sasa imagine Kenya ilivyo na Wakristo wengi na jinsi Wazanzibari walivyo na udini, kila siku wataomba kutengana na Kenya.
Kenya haiwezi kuhandle Zanzibar, Wazanzibari ni watu wenye udini sana, Kenya haitakalika siku Mzanzibari akishika nchi
 
Kelele nyingi tumboni empty (Djibouti, Kenya, Somalia, South Sudan, the Sudan and Uganda)

42 million people in six IGAD member states face high levels of acute hunger in 2025​


 
Teargass Nahitaji maelezo

1765519405160.png
 
Mimi nashindwa kuelewa watu wanakosa utu! Mimi ningependa kama dini zote ziikemea udhalimuwa utekaji, uchaguzi batioli na ukandamizi kama Wakatoliki!
Yani basi tu kuna watu wameshakubali kufunga akili zao, kwamba Rais ni Mungu mtu kwa hiyo hakosei
Hata akiteka watu ni sawa tu, na ukimkosoa basi wewe ndio mwenye unakosea, dah haya mambo yanaumiza sana
 
Kaka, wengine tunajua vitu kiundani zaidi. Usiniite mburukenge kama hujui uliza ufafanuliwe. Waliomuua Magufuli ni hao hao wakatoliki baada ya kwenda kinyume nao. Kwa sababu ya security ya Waislam wameshindwa kumpata Samia.
Acha kuongea rusbish usijiaibishe hapa. We all saw what transpired before during and after election.
 
Unakataa bila sababu
Its a known thing in Kenya, we have all East Africans-Burundians are known for selling chai and hawking shoes, njugu etc on the street. Rwandese and Congolese are known for shaving in barber shops and doing nails at salons. Ugandans are known to be good house helps and Tanzanians are known to beg on the streets.
Ethiopians,Eritreans and somalis do more of trade businesses

View: https://x.com/honmosiria/status/1998981228997853310?s=46

Hana sura ya TZ huyo ni ndugu yenu
 
Back
Top Bottom