Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,310
Shukran, nilimkumbuka ila wakati naandika nililisahau jina lake.Umemsahau X-mkurukenzi wa usakana wa taifa, Mahiga.
Shukran, nilimkumbuka ila wakati naandika nililisahau jina lake.Umemsahau X-mkurukenzi wa usakana wa taifa, Mahiga.
Kwa kweli, kuna watu wanastahili kuwa ignored. Sema sijui kwa nini sipendi kuignore watu 😅Piga ignore tu washenzi kama hawa
Mkoa wenye Uislam sana ni Dar es salaam. Tuambie mkoa upi unaushinda mkoa wa Dar? Wote wenye pesa hapa Tanzania ni waislam. Wakatoliki hawataki kuwekeza Tanzania wanapeleka pesa zao Uswis na kwenye benki yao ya Mkombozi, wanaiba pesa zetu na kuzunguka ku frame watu wengine.Matajiri wakubwa zaidi Tanzania wana asili ya Asia, mikoa yenye uislamu sana Tanzania ina umasikini wa kutisha, ikiongozwa na Kigoma
Watu weusi hapa Africa bila kujali dini wala kabila wengi wao ni masikini tu. Acha kujifurahisha mzee
Kwa nini unachukia Kanisa Katoliki too much. Mbona Tanzania hatujazoea haya mambo?Mkoa wenye Uislam sana ni Dar es salaam. Tuambie mkoa upi unaushinda mkoa wa Dar? Wote wenye pesa hapa Tanzania ni waislam. Wakatoliki hawataki kuwekeza Tanzania wanapeleka pesa zao Uswis na kwenye benki yao ya Mkombozi, wanaiba pesa zetu na kuzunguka ku frame watu wengine.
Katoliki ni tatizo la Tanzania. Pesa zote za Escrow zililiwa na wakatoliki
Kaka hao wanakutumia wakiona hufai tena wanakutoa roho. They call them devices. Wakiona wewe ni kikwazo kwenye missions zao they just terminate you. Kwanini wanaopata vifo vya ghafla ni wakatoliki tu? Hakuna mtu kutoka Protestant alipata kifo cha ghafla. Lowassa kadunda miaka mingi sana na afya yake.Hii theory niliwahi ifikiria, kutokana na jinsi Magufuli alivyowasema mapadri pale St Peters, kutokumuamini Mungu na badala yake kuamini uongo wa WHO kwenye covid.
Hata hivyo inaniwia vigumu kuikubali hiyo 'scenario' kwasababu kabla ya hapo, kulitokea vifo vya ghafla, kama Mzee Mkapa na Kijazi watu waliokuwa karibu sana na Magufuli. Hawa wote vifo vyao ni kanisa Katoliki?
Hivi vifo vya ghafla imeendelea kwa ndugai na juzi tuu hapa kwa Jestina, hawa nao wanabifu gani na kanisa katoliki?
Jamaa uwezo wake wa kiakili na kuchanganua mambo ni mdogo sana.Kwa kweli, kuna watu wanastahili kuwa ignored. Sema sijui kwa nini sipendi kuignore watu 😅
Kwikwikwikwikwi watu kama nyie huwa nawapotezea tu. Kwa sababu najua mnafikiria kwa kutumia nini. Watu wote wenye akili kubwa kama mimi duniani kote huwa tunawacheka tu.Jamaa uwezo wake wa kiakili na kuchanganua mambo ni mdogo sana.
Ni dizain ya watu wenye vyeti vya kuunga-unga. Memory span yake ni ndogo sana, hawezi kumbuka hsta tiny details za majadiliano weaks ago.
Ni dizain ya wana kila alichosoma kina evaporate minutes akitoka class.🚮
Nilikwambia mna shida ya udini ukapinga. Umejionea sasa?Kwa nini unachukia Kanisa Katoliki too much. Mbona Tanzania hatujazoea haya mambo?
Na Dar ni mixture ya Wakristo na waislamu, no one cares
Hii hata mimi nimeishangaa.Ati landgrabber Kenyatta akatae Zanzibar Islands! Kanchi chao kaliuwa na mwezi mmoja tangu kapate uhuru!
Honestly haya mambo mimi nayaona mitandaoni tu, na nimeanza kuyaona mwisho wa huu mwaka.Nilikwambia mna shida ya udini ukapinga. Umejionea sasa?
Inafikirisha kwa nini wote ni wakatoliki, ila bado kuna too much noise, kwenye huu mswala wa Kikwete na Samia. Wacha akili itulie nijaribu kutafuta kama kuna signal.Kaka hao wanakutumia wakiona hufai tena wanakutoa roho. They call them devices. Wakiona wewe ni kikwazo kwenye missions zao they just terminate you. Kwanini wanaopata vifo vya ghafla ni wakatoliki tu? Hakuna mtu kutoka Protestant alipata kifo cha ghafla. Lowassa kadunda miaka mingi sana na afya yake.
Brother ndani ya katoliki kuna assasination group. Take it or leave it. Fuatilia kwa umakini sana utaona, wale wanaokuwa against na kanisa huku ni waumini wa katoliki wanauliwa. Very simple wanapewa sumu kwenye sakramenti wanakunywa then wanakufa chap.
This Mwanza is what some of you wanted to compare with Mombasa? Mnafaa kuwa serious saa zingine.Mwanza is one of the best places to live in Africa
Life is cheap, the city is very big, its green, its beautiful, weather is very nice, the city is growing very fast, it's a construction site now, it's peaceful, with cool views of Rocky Mountains and Lake Victoria
Tanzania is a small heaven 🇹🇿👌
View attachment 3514679View attachment 3514680View attachment 3514681View attachment 3514682View attachment 3514683
View attachment 3514684
View attachment 3514685
View attachment 3514686
That is how discrimination works bro. Mtu hawezi kwambia face to face ana chuki na wewe, utajua mitandaoni. Hata hawa wanaoisema Kenya vibaya nikikutana nao one on one wataongea mambo tofauti sana.Honestly haya mambo mimi nayaona mitandaoni tu, na nimeanza kuyaona mwisho wa huu mwaka.
Nasema ukweli, mimi sijawahi kukutana na mtu mwenye udini in real life
Sidhani kama unamuelewa vizuri huyu jamaa.Jamaa uwezo wake wa kiakili na kuchanganua mambo ni mdogo sana.
Ni dizain ya watu wenye vyeti vya kuunga-unga. Memory span yake ni ndogo sana, hawezi kumbuka hsta tiny details za majadiliano weaks ago.
Ni dizain ya wana kila alichosoma kina evaporate minutes akitoka class.🚮
Kaka noise zote hizi issue ni bandari na sheria ya mpya ya kodi inayiyataka mashirika ya kidini.Inafikirisha kwa nini wote ni wakatoliki, ila bado kuna too much noise, kwenye huu mswala wa Kikwete na Samia. Wacha akili itulie nijaribu kutafuta kama kuna signal.
Ndani ya noises zangu kuna ukweli mtupu.Sidhani kama unamuelewa vizuri huyu jamaa.
Nitakupa scenario moja kuhusu signal and noises, kutoka kwa mbwa.
Huyu mnyama, anauwezo mkubwa sana wa kunusa, anaweza kunusa harufu ya tone moja la damu lililodondoka na kupotea kwenye Olympic swimming pool.
Wengi hatanusa harufu ya chlorine kwenye swimming pool ila mbwa, Mungu amempa uqezo wa kutambua kuwa mabali na harufu ya chlorine, kuna damu.
Kiufupi mbwa anauwezo wa ku ignorr noises alisikiliza signal.
Usijali noises anazoandika huyu Venus Star Venus