kwani umesikia tukiongolea mkapa stadium huku kila kukicha na isitoshe picha zake za ndani ziko nyingi tuu embu leteni picha za ndani ya mende stadium tucheke kidogo. Mchina mshenzi sana kapapasa makalio ukapeleka mikono yote kuji protect ukasahau una kende sasa kazishikilia na grip pliers mtajua hamjuiBakuli za kukalia? Makwapa iko na bakuli hizo hizo ama zile ni nini?