Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilwa Masoko fishing port

1768926516959.png
 
saf sana, yaani dar kwenda zenj kipindi cha afcon inakua chap sana sio kama jamaa flan sjui wageni wataenda wap afcon 🤣 🤣 sema ule uwanja wa dodoma ungekua wa afcon pia ungekua saf kabisa, mshabiki anatoka dar kucheki mechi alafu dodoma mechi inaofuata 3 hours upo dodoma, ingekua ile ya kenya pale kutoka nairob kwenda mombasa refa ashapigwa wewe ndo unafika
Mashabiki gani unaongelea? The only fans that will be attending matches ni watanzania but we all know hamna uwezo WA kujaza stadiums. CHAN really exposed your lies about loving football 😂😂
 
Mashabiki gani unaongelea? The only fans that will be attending matches ni watanzania but we all know hamna uwezo WA kujaza stadiums. CHAN really exposed your lies about loving football 😂😂
who told you hatujazi uwanja? CHAN tulishawaambia ni mashindano mabovu and eventually yamefutwa! CHAN sio afcon dogo, in AFCON countries come with fans the same way you see fans wa nigeria, south africa, senegal au hujaangalia afcon dogo
 
95% of the stadium is usually filled with the hosting nation, but going by how Tanzanians lack disposable income,the stadiums will always remain empty.
 
95% of the stadium is usually filled with the hosting nation, but going by how Tanzanians lack disposable income,the stadiums will always remain empty.
ulishawahi watch any tanzania match ukaona stadium iko empty? wewe umeanza kujua mpira juzi huezi elewa why we dont want that CHAN, it was forced to us kama kigezo cha kuona kama afcon can work but CHAN is a failure tournament and eventually it has been banned

Kati ya tz na ke nani wa kumshauri mwenzake on sports?
 
Back
Top Bottom