Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Compare and Contrast
Halafu unatulazimisha tununue kenyans fabricated buses you must be insane. mteja ananunua product kutokana na mahitaji yake, quality and value for money kama hamna equivalent locally made mteja hazuiwi kuagiza nje.
View attachment 3535457View attachment 3535458
So you decided to look for a 2006 Kenyan built mini bus to compare with a 2026 Chinese bus? Indeed Kenya is going places.

2025 Kenyan built.

1000174881.jpg
1000174882.jpg
 
Ni kama watanzania hawafahamu Nssf ni nini 😅

Kwani amejifunza wapi huyo Kasongo mambo ya NSSF Hadi akaongeza makato kwenye mishahara yenyu?

Unajua benchmarking ilikuwa wapi? Sheenzeey sanaaaa... In Atwoli voice!
 
Hapo ndio ajue kuna GDP halisi na ya karatasi.
issue ya GDP ni tatizo kote duniani, kwa mfano chukulia GDP ya kenya ni around $145B ila unachotakiwa kuangalia ni sectors zinazocontribute zaidi kwenye hio GDP, the problem is in capitalism ni watu wachache wanachangia kwenye GDP

1769600739841.png


kwa kenya hii ndo biggest contributer ya GDP, ukiangalia apo most of them are companies, institutions etc
for tanzania its mainly agriculture which ndo watu wengi wanafanya, so in tz its easy to earn from gdp growth than in kenya, wether the stats are correct or not sio issue sana zaidi ya contributers wa GDP
 
Back
Top Bottom