He’s deranged … definitely either some mental case or a CCM paid troll … I guaranteed it .I realized the kind of a guy he was and stopped engaging him, siku hizi naona kazi ni kunitag tu akitaka attention yangu but simpatii.
Nairobi hakuna chawa, Dar machawa wanamiliki mabilioni.Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
View attachment 3522579
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
I think ni ichoboy. Yeye ndo alkua na childish behaviors kama hiziI realized the kind of a guy he was and stopped engaging him, siku hizi naona kazi ni kunitag tu akitaka attention yangu but simpatii.
That's what you call race for the sky? 🤣 🤣Race for the sky in Mbeya City 🔥 🔥 View attachment 3535363View attachment 3535364
Wacha hasira wewe!You realize nobody cares about your rants on the SGR.. when you keep on posting cargo trains and claiming they are same as passenger ones, you loose all credibility. Your agenda has been exposed…so whatever floats your boat, keep it up … it’s great entertainment especially over this snowfall …
Depending with the size of City.Mbeya is 5th largest City in 🇹🇿🇹🇿That's what you call race for the sky? 🤣 🤣
Mzee shikilia hapo hapo, hawa watu hawapendi kuambiwa ukweli. 😂😂😂sasa mm nimefanya nn 🤣 🤣 🤣 au kuna picha nimeweka ya uongo kwamba nawasingizia 🤣🤣🤣 au ni hasira za SHA
Eldoret is the 5th biggest city in Kenya. The tallest tower in Eldoret is 26 floors high.Depending with the size of City.Mbeya is 5th largest City in 🇹🇿🇹🇿
This is Mbeya too,Ina scramble kumiliki anga 🔥🔥 👇👇View attachment 3535863View attachment 3535865View attachment 3535868View attachment 3535871View attachment 3535872View attachment 3535873View attachment 3535874View attachment 3535875View attachment 3535876View attachment 3535879View attachment 3535884View attachment 3535886View attachment 3535887View attachment 3535888View attachment 3535889View attachment 3535890View attachment 3535891View attachment 3535892View attachment 3535893View attachment 3535894View attachment 3535898View attachment 3535899View attachment 3535901View attachment 3535903View attachment 3535904
Apart from hiyo Moja Kuna kipi tena Cha maana hapo Eldoret?Eldoret is the 5th biggest city in Kenya. The tallest tower in Eldoret is 26 floors high.
Bro, 10 floors buildings Eldoret sio kitu cha kushangaza tena. Affordable housing pekee ni 15 blocks na zote ni 14 floors. Hizo pekee zishaangusha Mbeya+Arusha+Mwanza+Zanzibar+Tabora+Dodoma+Tanga +Vimji vyote vya Vumbistan excluding Dar. 🤣 🤣 🤣Apart from hiyo Moja Kuna kipi tena Cha maana hapo Eldoret?
Mbeya tuna 3 buildings with 10 floors each.