Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How will that stop your stadiums from being in the bush?
Sasa 5 to 7 km from the City centre ni bush?
Aliyewaroga Wakenya amekufa
Screenshot_20260412-203330.png
 
Hapa designer alitulia, sema cjajua ni kwnn waliupeleka porini namna hii, kwnn wasingeuweka Arusha town, hili eneo mpk lipambazuke itachukua muda. Hawa planners wetu mbn huwa hawafikirii kwa undani.
Hapo walipojenga ni sahihi kabisa.

Mji unatanuka, na inapunguza foleni.
Baada ya AFCON hapo siyo porini tena
 
Hapa designer alitulia, sema cjajua ni kwnn waliupeleka porini namna hii, kwnn wasingeuweka Arusha town, hili eneo mpk lipambazuke itachukua muda. Hawa planners wetu mbn huwa hawafikirii kwa undani.
That's the best location for that stadium, ndio maana photos zake ziko magnificent, mlima + greenery pia nasikia unaweza kuuona Mount Kilimanjaro kwa mbali kwenye hiyo location
Na ni only 5-7km from Arusha City Centre pale clock tower
 
Back
Top Bottom