Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata ikiwa 10 lines za LED adverts! ukitoka nje flying toilets kila kona! enough adverts!
These kind of views can only be found around Talanta Stadium and Nyayo. Kule kwenu kwa Makwapa kando yake ni slum na Arusha mini stadium is surrounded by thick forests with no roads.

1000239089.jpg
 
Sema nini huu uwanja wakimaliza kuuezeka hakuna takataka yoyote ya kutia pia hapa, ukanda mzima huu. 👇🏾View attachment 3571188View attachment 3571187View attachment 3571189washaanza kuezeka. Ndani ya mwezi mmoya mzigo utakua na maganda yake, na hapo tutakua tumewakata ngebe wakunya. Mana hiyo exterior design ya huu uwanja ni out of this continent of Africa.
Yeah ni design nzr sn, imeenda extra miles, tofauti na viwanja vingi vya ki Africa ambavyo ni Amahoro like a design.
 
Sema nini huu uwanja wakimaliza kuuezeka hakuna takataka yoyote ya kutia pia hapa, ukanda mzima huu. 👇🏾View attachment 3571188View attachment 3571187View attachment 3571189washaanza kuezeka. Ndani ya mwezi mmoya mzigo utakua na maganda yake, na hapo tutakua tumewakata ngebe wakunya. Mana hiyo exterior design ya huu uwanja ni out of this continent of Africa.
Hapa designer alitulia, sema cjajua ni kwnn waliupeleka porini namna hii, kwnn wasingeuweka Arusha town, hili eneo mpk lipambazuke itachukua muda. Hawa planners wetu mbn huwa hawafikirii kwa undani.
 
******* yamejengewa box like a structure, aka Amahoro design au African style, now yanashangaa kuona Arusha iko na design ya kipekee yanashangaa 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom