Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Hata kabla ya Afcon hapo sio porini. Hilo ni eneo la mradi wa Safari city wa NHC, nyumba zilishaanza kujengwa hapo.Hapo walipojenga ni sahihi kabisa.
Mji unatanuka, na inapunguza foleni.
Baada ya AFCIN hapo siyo porini tena
Moshi yenye EABL, Kilimanjaro International Airport, Coca cola Bonite Bottlers, Machine Tools, Kilimanjaro Christian Medical Center (soon with heart institute), Kilimanjaro Christian Medical University, Kilimanjaro School of Pharmacy, Police college, Ushirika University, the first international school in Africa in 1969, leather factory and 4 stars hotels!Sasa hii ndio size ya Moshi.
Huyo ni wa kumuacha.Moshi yenye EABL, Kilimanjaro International Airport, Coca cola Bonite Bottlers, Machine Tools, Kilimanjaro Christian Medical Center (soon with heart institute), Kilimanjaro Christian Medical University, Kilimanjaro School of Pharmacy, Police college, Ushirika University, the first international school in Africa in 1969, leather factory and 4 stars hotels!
Hata Kisumu haifikii Moshi pamoja na kwamba Kisumu ni city hapo Ukunduni!Huyo ni wa kumuacha.
Hii picha ndio barabara?Kuna km kama 20+ za dual carriage ways zinajengwa Arusha, as we talking. Siku ya kutia wino mradi hii apa. 👇🏾View attachment 3571609
NIonyeshe Tu barabara inaenda uko hata kama ni ya vumbi.Sasahivi unaongea tu kwa maumivu, hiyo sehemu ilikuwa haijajengwa, sasahivi tumeanza kuijenga kwa hiyo barabara zitawekwa. Hiyo hata sio point cause you know it's obvious lazima barabara ijengwe
Yet Moshi is the fourth poorest town in Tanzania.Moshi yenye EABL, Kilimanjaro International Airport, Coca cola Bonite Bottlers, Machine Tools, Kilimanjaro Christian Medical Center (soon with heart institute), Kilimanjaro Christian Medical University, Kilimanjaro School of Pharmacy, Police college, Ushirika University, the first international school in Africa in 1969, leather factory and 4 stars hotels!
Ningekuwa Arusha ningekuonesha, kwa sasa nategemea picha zinazopostiwa za hiyo stadiumHii picha ndio barabara?
NIonyeshe Tu barabara inaenda uko hata kama ni ya vumbi.
its time to get your medicinesHii picha ndio barabara?
NIonyeshe Tu barabara inaenda uko hata kama ni ya vumbi.
Kisumu ikiletwa Tanzania it will be the second most developed city after Dar is slum.Hata Kisumu haifikii Moshi pamoja na kwamba Kisumu ni city hapo Ukunduni!
Kisumu ikiletwa Tanzania it will be the second most developed city after Dar is slum.