Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LEVELS
 
I dealt with World Bank which said that 70% of Tanzanians live in slums.

Hiyo Google deal nayo pekee yako.
oooh you mean the paper you keep showing from the 90's, stay with it! BTW you even made it to world wide list, a congrats to you

1776031788866.png
 
Makunya yanafaa kujua hii hapa miradi yote itakamilika before Afcon. Arusha is something else. KMICC Arusha 27 floors building the tallest building outside East Africa’s capital cities . 👇🏾
IMG_3783.jpeg
IMG_3780.jpeg
Arusha conference hall
IMG_4112.jpeg
IMG_4121.jpeg
Arusha bus terminal
IMG_4107.jpeg
IMG_4108.jpeg
IMG_4120.jpeg
Kilombero market Arusha
IMG_4109.jpeg
IMG_4110.jpeg
IMG_4118.jpeg
Them park Arusha
IMG_4116.jpeg
IMG_4115.jpeg
Nyama choma kwa mromboo Arusha
IMG_4113.jpeg
IMG_4114.jpeg
😂😂 wakunya msijema mbona ghafla. Nimewasanua tu kidunchu. Hivyo vimji vyenu vya takataka vijipange. Arusha inaaenda kuviacha miles 1000000..
mwaiofhawaii jifunze Arusha budaa.
 
Hata kabla ya Afcon hapo sio porini. Hilo ni eneo la mradi wa Safari city wa NHC, nyumba zilishaanza kujengwa hapo.

Lakini meskia makonda akisema eneo kubwa la karibu na uwanja wameliuza kwa mwekezaji wa nje atakaejenga kamji hapo even before Afcon.
Before AFCON ni uongo.

AFCON ni mwakani mwezi wa 6.

Tuna mwaka tu.
 
Back
Top Bottom