Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LEVELS
 
I dealt with World Bank which said that 70% of Tanzanians live in slums.

Hiyo Google deal nayo pekee yako.
oooh you mean the paper you keep showing from the 90's, stay with it! BTW you even made it to world wide list, a congrats to you

 
Makunya yanafaa kujua hii hapa miradi yote itakamilika before Afcon. Arusha is something else. KMICC Arusha 27 floors building the tallest building outside East Africa’s capital cities . 👇🏾Arusha conference hall Arusha bus terminal Kilombero market Arusha Them park Arusha Nyama choma kwa mromboo Arusha 😂😂 wakunya msijema mbona ghafla. Nimewasanua tu kidunchu. Hivyo vimji vyenu vya takataka vijipange. Arusha inaaenda kuviacha miles 1000000..
mwaiofhawaii jifunze Arusha budaa.
 
Hata kabla ya Afcon hapo sio porini. Hilo ni eneo la mradi wa Safari city wa NHC, nyumba zilishaanza kujengwa hapo.

Lakini meskia makonda akisema eneo kubwa la karibu na uwanja wameliuza kwa mwekezaji wa nje atakaejenga kamji hapo even before Afcon.
Before AFCON ni uongo.

AFCON ni mwakani mwezi wa 6.

Tuna mwaka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…