concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Hata tufanye hivi tuwaache Uganda wachukue final, Kenya opening na mahindi wa tatu ila semi finals zote zifanyike bongokwann mnapenda kuweka umuhimu sehem amna umuhimu, yaani sisi ndo we did the BID mnaonewa huruma mnaanza fujo 🤣 sasa hii AFCON mtalia machozi, uganda washakaza