concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Hii wapige moja kwa moja iwe inaanzia Dodoma .
Kuwepo na route ya
4:30 asubuhi
7:00 asubuhi
11:00 mchana
14:30
17:30
18:00
Hiyo morogoro iwe inaanzia Dodoma .
Maana kuna mwendo wa masaa kama 8 bila treni wengi wanakosa safari