President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kwamujibu wa kitu gani kinakuambia hakuna Mtanzania mweupe? So Kemi Badenoch is not a British because is Black?Hakuna mtanzania mweupe. All those investors coming to Kenya are Arabs that are tired with your dictatorship government.
Hasira zote hizi ni kwasababu ya Msukuma kutaka Uwanja wa Ndege wa Mwanza ukamilike? Hakuna sehemu Msukuma alipinga Ujenzi wa uwanja wa serengeti. Nadhani hizi hapa ni Chuki zako binafsi, siwezi kujadili kutokana na personal issue. kama mpo na ugomvi na msukuma tafutaneni mmalize ugomvi wenu.Wasukuma ni wabinafsi halafu wabafhirifu mnalazimishia kuhudumia Serengeti NP wakati haipo Mwanza ipo mkoa wa Mara! Kuna wakati Msukuma alitaka Mwanza airport iitwe Serengeti. ATI Serengeti international airport haina manufaa! Tangu lini Msukuma anajihusisha na utalii? Kila kitu mnataka nyie! Ndio maana Samia alimuweka jamaa yenu kuwa Deputy PM kama chambo! Mturleze fedha ya jengo lile ambalo halijakamilika ilienda wapi?
Hasira yangu ni kwa vile anakandia uwanja wa Serengeti! Amekosa uzalendo! Apiganie uwanja wa Mwanza kivyake! Na asilazimishe Serengeti NP ihudumiwe na uwanja wa Mwanza! Hebu tuambieni kama mna uwezo huo, vyanzo vyenu vya utalii vina-perform Vp?Hasira zote hizi ni kwasababu ya Msukuma kutaka Uwanja wa Ndege wa Mwanza ukamilike? Hakuna sehemu Msukuma alipinga Ujenzi wa uwanja wa serengeti. Nadhani hizi hapa ni Chuki zako binafsi, siwezi kujadili kutokana na personal issue. kama mpo na ugomvi na msukuma tafutaneni mmalize ugomvi wenu.
Halafu siyo Msukuma pekee aliyeongelea hilo. Nimekueleza aliyeanza ni Tabasamu Mbunge wa Sengerema.
Sisi wakazi wa Mwanza tunataka Uwanja wa Maana wa Ndege na vilevile tunataka uwanja ndani ya Serengeti, vyote vifanyike
NB: Hii ajenda ilishatolewa ufafanuzi na hakuna utata tena
Wewe ni burukenge tu. Hopping here and there like a frogUkweli wa Katiba yenu huu hapa
Baada ya machafuko ya 2007/2008, Wakenya waliamini kuwa kila kabila likiwa na "ulaji" (bajeti) wake katika eneo lake (County), vurugu za kugombea kiti cha Rais Nairobi zitapungua.
Brother nimekueleza fuatilia mjadala mzima. Hii ilitokana na mbunge wa Serengeti kuongea kwa jazba wakati anamjibu Tabasamu Mbunge wa Sengerema. Na mbona naona hakuna shida yoyote.Hasira yangu ni kwa vile anakandia uwanja wa Serengeti! Amekosa uzalendo! Apiganie uwanja wa Mwanza kivyake! Na asilazimishe Serengeti NP ihudumiwe na uwanja wa Mwanza! Hebu tuambieni kama mna uwezo huo, vyanzo vyenu vya utalii vina-perform Vp?
Mimi kuanzia jana na leo nipo hapa kutoa elimu tu. Nitakufundisha hata kama hutaki mpaka ujinga utoke kichwani mwako.Wewe ni burukenge tu. Hopping here and there like a frog
Nimefuatilia ndio maana napinga kauli ya kejeli ya Msukuma ati kudai uwanja wa Serengeti hauna manufaa! Si kweli! Una manufaa zaidi ya huo wa Mwanza Tena ukizingatia mlipewa fedha na JPM ya jengo mkazitumbua! Mtulie serikali iwatafutie hizo fedha za jengo na mapanuzi ya runway! Msituendeshe! Sina sympath za kijinga!Brother nimekueleza fuatilia mjadala mzima. Hii ilitokana na mbunge wa Serengeti kuongea kwa jazba wakati anamjibu Tabasamu Mbunge wa Sengerama. Na mbona naona hakuna shida yoyote.
Hata hivyo Mbuga wa Serengeti haipo Mkoa wa mara pekee imepita mikoa ya Mara, Simiyu, na Arusha. Kuwa na wilaya ya serengeti mkoa wa mara haimanishi Serengeti ipo Mara pekee.
Hizo ni chuki zako kaka. Mjadala wote niliufuatilie nashangaa umekazania Msukuma. Wakati aliye liongelea ki undani na kupewa Taarifa na mbunge wa Sengerema Tabasamu.Nimefuatilia ndio maana napinga kauli ya kejeli ya Msukuma ati kudai uwanja wa Serengeti hauna manufaa! Si kweli! Una manufaa zaidi ya huo wa Mwanza Tena ukizingatia mlipewa fedha na JPM ya jengo mkazitumbua! Mtulie serikali iwatafutie hizo fedha za jengo na mapanuzi ya runway! Msituendeshe! Sina sympath z kijinga!
View: https://youtu.be/-pKhQtblbFE?is=NMHaVCDaakT8eWuU
peleka upumbavu na endelea kubadili handle! pita kule! Usinifundishe kuelewa na nimemsema Msukuma kwavile matamshi yake si sawa! Kwahiyo kwa mantiki yake miradi kwa Wasukuma sawa ila kwa Wakurya na Wajita na Wajaluo na Wazanaki wa mkoa wa Mara hapana! Mimi sipendi watu wanakandamiza wengine ili kupata wao! Hilo tu! Ni siasa za kijinga!Hizo ni chuki zako kaka. Mjadala wote niliufuatilie nashangaa umekazania Msukuma. Wakati aliye liongelea ki undani na kupewa Taarifa na mbunge wa Sengerema Tabasamu.
Itakuwa wewe na Msukuma mpo na ugomvi wenu. Mimi siwezi kuuingilia, malizaneni huko...
1. Mbalawa ameliongelea
2. Waziri mkuu kaliongelea na Kesho yupo kwenye kikao na wabunge wa mwanza.
Uwanja wa Ndege wa mwanza unajengwa 100% na serikali while wa Serengeti ni PPP.
Kwahiyo Msukuma aache kuihoji Serikali?
Kwahiyo International Airport isijengwe Mwanza kwa hasira zako? Halafu sisi kanda ya ziwa ni wamoja wakulya, wajita, wazanaki, wajaluo, wahaya, wakerewe, Wanyamwezi,Waha, Watusi, Wahutu na wasukuma.peleka upumbavu na endelea kubadili handle! pita kule! Usinifundishe kuelewa! Kwahiyo miradi kwa Wasukuma sawa ila kwa Wakurya na Wajita na Wajaluo na Wazanaki wa mkoa wa Mara hapana!
She is identified as African.So Kemi Badenoch is not a British because is Black?
Malisaaaaaa huyo pumbavu, hananga akili. π π πpeleka upumbavu na endelea kubadili handle! pita kule! Usinifundishe kuelewa na nimemsema Msukuma kwavile matamshi yake si sawa! Kwahiyo kwa mantiki yake miradi kwa Wasukuma sawa ila kwa Wakurya na Wajita na Wajaluo na Wazanaki wa mkoa wa Mara hapana! Mimi sipendi watu wanakandamiza wengine ili kupata wao! Hilo tu! Ni siasa za kijinga!
Hakuna nchi inaitwa Africa. You are an idiot.She is identified as African.