President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Leta County yenye project from OSR.Malisaaaaaa huyo pumbavu, hananga akili. 😂 😂 😂
Halafu issue zetu Watanzania tunazimaliza wenyewe.
Leta County yenye project from OSR.Malisaaaaaa huyo pumbavu, hananga akili. 😂 😂 😂
Ukiskia final touches ndio hizi sasa. 👇🏾 Arusha stadium inakimbia kinoma. View attachment 3588435View attachment 3588436👇🏾
View: https://vt.tiktok.com/ZSxJYJ24V/.
Aruaha stadium ndio inamaliza maliza tena hivyo. View attachment 3588597.. 👇🏾
View: https://vt.tiktok.com/ZSxeAn4sF/.
Ruto anawatambua kama Watanzania ila kondoo wanasema sio Watanzania. 😂😂😂Kutokana na nini? We rejected and opposed this racism from the time of apartheid in South Africa.
Katiba yetu ya Tanzania inakataza ubaguzi wa rangi au hali ya mtu.
Mtu hatambuliki kuwa mtanzania kwa rangi yake.
Hata hivyo unakosa kujua dunia. Ulaya majority ni white lakini wapo watu weusi na mpaka wengine ni viongozi wa juu huko.
Kwa mfano Kemi Badenoch is the Leader of the Conservative Party
View attachment 3588491
Huo ubaguzi kikabila utawamaliza wakenya.
kule wameweka viti bila kusakafia! Ni vumbi tupu!Bado jirani hajamaliza kufunga viti? Tulikuwa tukiwaambia hapa work progress iko 70% ila wao wakajifanya ni ma engineers na kubisha.
Uchumi umekuwa na shida hawana jinsi lazima waachie. Sasa atakuja Bakhressa kumaliza kazi huko Azam Tv ni launch pad tuu.🤣 🤣 🤣 🤣 Tumewabinya mpaka Protective regulations zenu mnaziacha. Mpaka Shishi Food atakuja kufungua Company hapo Kenya.
Ndio kama tulivyokuwa tunasema tutaanza kuwauzia ugali badala ya mahindi na unga
It is customary for both countries to have presidential portraits in public offices, not bound by law.Nimekwambia tangu mwanzo kuwa Kenya hakuna explicit constitutional clause inayosema “kila office lazima iwe na picha ya Rais.” Hata serikali yenu ilishasema private citizens hawalazimishwi.
Lakini unachokataa kuelewa ni tofauti kati ya:
Ndiyo maana practically ukienda:
- wananchi binafsi,
na- government offices/public service protocol.
Kwa nini ipo kama si sehemu ya government administrative practice na protocol?
- ministries,
- county offices,
- police stations,
- public schools,
- serikali institutions Kenya,
unakuta official portrait ya Rais ipo.
Na hiyo statement ya Uhuru ilihusu wananchi na biashara binafsi kutolazimishwa. Haikufuta government protocol ya public offices kutumia official presidential portrait.
Tanzania na Kenya zote zinafanana hapa:
Difference ni kwamba wewe umechukulia discussion kama emotions za kisiasa badala ya public administration na constitutional practice.
- hakuna Katiba inayosema portrait ni national symbol kama flag,
- lakini serikali zote mbili zina official state practice ya kuweka picha ya Rais kwenye public offices.
Mwekezaji anajenga kwa hela yake hapangiwi😁kule wameweka viti bila kusakafia! Ni vumbi tupu!
Kwahiyo hata SA hakuna msauzi white sio au hakuna black American ndio unataka kusema hivyo we bumunda?Hakuna mtanzania mweupe. All those investors coming to Kenya are Arabs that are tired with your dictatorship government.
Pale Ukunduni wanam-block Total energies CEO!
View: https://www.instagram.com/reel/DYTs6knKwbe/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Uwanja unakimbia kwa speed ya 5G. 🔥🔥🔥Bado jirani hajamaliza kufunga viti? Tulikuwa tukiwaambia hapa work progress iko 70% ila wao wakajifanya ni ma engineers na kubisha.
Aawapii...Bado jirani hajamaliza kufunga viti? Tulikuwa tukiwaambia hapa work progress iko 70% ila wao wakajifanya ni ma engineers na kubisha.