NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Shida sii management, shida ni Bongolala. Yani management inavyojua Bongolala ilijua wataamini tu - bahati mbaya mtandaoni kuna Wakenya na Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania wenye wamechanuka kiasi.🤣🤣😂🤣Yani pesa ya kulipa architecture imewashinda yet they want us to believe that wataweza kujenga hiyo stadium?🤣🤣😂
Na lakini, the management of the club didn't review those AI images for any errors kabla wazipost online?🤣🤣😂🤣