stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
mwingine aliefikisha $4B alete maapto yake
View: https://x.com/millardayo/status/2055288039581118702?s=20
View: https://x.com/millardayo/status/2055288039581118702?s=20
sema hili kundi mwanangu daah, hawajatuwekea ata kibonde mmoja 😭Mfaransa kipindi kile tulimchakaza ile mbaya.
Waache woga tu. Tupo na timu borasema hili kundi mwanangu daah, hawajatuwekea ata kibonde mmoja 😭
ni kwel ila mashindano hua kama umeingia mara ya kwanza kunakuaga na kale kauoga flan iviWaache woga tu. Tupo na timu bora
Sasa mbona wengi wanaopinga mitandaoni ni Watanzania?Shida sii management, shida ni Bongolala. Yani management inavyojua Bongolala ilijua wataamini tu - bahati mbaya mtandaoni kuna Wakenya na Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania wenye wamechanuka kiasi.🤣🤣😂🤣
lakini kwa Teargass its the most modern in the region 😂
View: https://x.com/Wanjiru2027/status/2055288397057442262?s=20
lakini mnaenda kwa huruma tuEbu tuonyeshe penye FIFA wamesema. Ama wewe unaokota Tu tweets za chokoraa kama wewe?
Yani watanzania ni wajinga kweli kweli. Kila mwaka wanapewa render mpya😂🤣🤣😂
View: https://x.com/i/status/2055346693902614616