Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ambia huyo mbwa nairobae!
 
Kule Arusha pia wanewekewa seats za bakuli after kutupigia kelele hapa juu ya Talanta seatsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

View attachment 3589434
Whaaaaaaaaaat!!!!!
Geza Ulole
instanbul
game over
After hiyo kelele yote mlitupigia hapa? 🀣 🀣 🀣
I remember betting with someone here over this. Nimesahau ni nani. But we bet that this stadium will have bakuli seats.🀣 🀣 🀣
 
Bro, the people who were killed during your last year's elections are more than the total number of people who have ever been killed in all Kenyan elections combined since independence.
Sit down.
 
Teargass lakini hawa majamaa wangewekewa foldable seats sijui tungejificha wapi. Ingekuwa kama ile siku Taifa stars ilivuka Harambee Stars kwa rankings. 🀣 🀣 🀣
Saa ngoja uone vile wanataka kuchange gear kuhusu bakuli seats, they will tell you how it's the best seats to ever been invented since the agrarian revolution πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Mtu akiwasoma hawa wakazi wa kibera humu anaweza kudhani Kenya ni Sweden,Switzerland fulani hivi. Kumbe third world country fulani ambayo njaa ni kawaida kabisa maisha yao yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…