Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wile Tanzanians are flourishing in Kenya as Omba Omba Kenyans dominate business in some parts of Tanzania especially Arusha …
I was surprised to find out Kenyans own the Northern Tanzania tour circuit…
Wacha muanze kulia sasa na response za Njaa na Kibera β€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Ni kama unajiongelesha upumbavu. Huenda huu ujinga ulioandika hapa ungekua na maana 90s sio sasa. Biashara zote unazoziskia Tz zinamilikiwa na watanzania wenyewe foreign investments ni za kutafuta na tochi huku. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tena kwa sasa ndio kabisa. Kwa maana waTz wanaenda uchina wenyewe. Hakuna mfanya biashara mkenya anawezashindana na mtanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚ hiyo izame kwenye bichwa lako lisilo na akili hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…