Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Unakimbia mada.? 😂😂😂 kuhusu kampuni za Tz kuwa na revenue za $1 billion tulishajadili sana humu na haipo siku mliowahi kushinda mjadala. Na namba za uongo za kiosk kuwa na 1 billion dollars 😂😂😂The post was very clear bongoslum ina kampuni moja with 1 billion usd revenue. Unajaribu kujiliwaza na points za kipumbavu yet the topic was very clear. Mumeshindwa hata na DRC. Next itakua Uganda na Rwanda. 😂 😂 😂
Sasa usikimbie mada, hivyo hivyo vikampuni ambavyo ni vya wazungu vikiwashinda kuendesha wanawauzia wabongo. Wewe na wapumbavu wengine kazi yenu ni mayowe tu. 😂😂