Ndugu yetu Kundudweller aka
Nicxie unaporomosha maneno haya yote kwasababu watu hapa wamekuomba ulete picha moja tu ya drone view? au ni ule ungonjwa wako kifafa na kupoteza kumbukumbu umefika masaa yake?
1. Unanituhumu kuwa sina bando halafu wakati huo huo unasema mimi na Stakehigh tunashinda kwenye mitandao 24/7 - Watu hapa JF hawahitaji kuwambiwa kuwa wewe ni kichaa wanaona wenyewe.
2. Picha moja tu ya drone view watu wanaililia waweze kuiona. Kuna wawekezaji na watalii wamo humu JF wanasubiri picha yako watie timu hapo Nairobi.
Mimi binafsi sikulaumu kwa comment zako za namna hii kwa sababu najua hali yenu ya ukosefu wa chakula hapo Kenya. watalaam wanasema mtoto akikulia katika mazingira ya chakula duni anakuwa na mtindio wa ubongo.
Tuwapatie chakula bora watoto wetu jamani