Sawa kijana wa flying toilet.Uhalisia pekee hapa ni kwamba Dar mnatumia pit latrines and that in Nairobi, put latrine ni kama kutafuta nyama ya nguruwe uarabuni
Sawa kijana wa flying toilet.Uhalisia pekee hapa ni kwamba Dar mnatumia pit latrines and that in Nairobi, put latrine ni kama kutafuta nyama ya nguruwe uarabuni
Inabidi mtu atupatie angle ya Kariakoo maana KKO ya sasa ni moto sana modernization kila kona in the next 5 years sijui kama itakuwa ni ile kko tunayoijua hapa.
Skyboxes are built in VIP sections in stadiums where they (skyboxes) exist. Huwezisema uko kwenye skybox just because uko kwenye VIP section hata kama uwanja yenyewe haina skybox.
Ngoja TRA tower ianze kuinuka hapo nyuma kidogo
Picha inaonesha majengo mengi sana yapo under construction kko
Hili ni la nani au mmiliki wake nani?The biggest bird in EAC.
![]()
I trust Chivayo he is a good deall maker 🔥🔥🔥Bongolala wako karibu kuanza kulia na kusaga meno.
![]()
![]()
Hii yenu nayo mnaona mpaka wapi? Tandale?Hii ndio skybox halisi unaona mpaka touch line sio ile kichekesho chenu.
View attachment 3611266
Why can't you support your own artists?Without Kenya support, the top Bongo celebrity artists would be unknown… and they know that … Ask Diamond.. Kenya introduced Diamond to the world with free promotion…Facts!
Talanta is just big, but it's ugly afHata Talanta Stadium na expressway pia mlipinga Tu hivi. Let me bookmark this for future use.
Jana hamkuwa na power cut ukunduni? Kila siku kuna power cut aka power disturbamces in nyangau voice 🤣🤣🤣🤣
Yes we do hata sijui last time umeme ulikatika lini.
Nicxie ni lipumbavu hua naliambia kila siku, kabla hata hazijaaanza kujengwa nshamwambia zile sio skybox ila lipumbavu halielewiHii ndio skybox halisi unaona mpaka touch line sio ile kichekesho chenu.
View attachment 3611266
kuja jamaa alisema it has sudan themeTalanta is just big, but it's ugly af
wamekula kichwa wapi these idiots are poor ASF azam has less than 100kAzam ameshakula vichwa hapo🔥🔥🔥
kama ameweza kudesign lile tumbo atashindwa airport? mwache kama kijana afanye fieldI trust Chivayo he is a good deall maker 🔥🔥🔥
hio inaonesha mpaka kwenye kipara, ila hii apa chini ndo funga kazi, unaona mashabiki badala ya wachezajiHii yenu nayo mnaona mpaka wapi? Tandale?
View attachment 3611281