RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Jamaa wana akili fupi sana. Imagine mtu anaamini Dar hakuna ujenzi unaendelea? Watu wanajenga mpaka tunalalamika malori yanaharibu barabara huku mitaani.New project coming up at Oyster bey View attachment 3621538hii nayo inakuja hapo masaki. 👇🏾View attachment 3621539and thisView attachment 3621542and thisView attachment 3621543and this View attachment 3621549and this View attachment 3621551and this View attachment 3621553and many more.. zimgine mkiulizia nitapost humu ..
Watu wanakimbizana corridor za manispaa kubadili idadi ya ghorofa kwenye makazi ziongezwe ili wajenge majengo marefu zaidi halafu unakuta kima humu anafikiri majengo kuwa na ghorofa idadi fulani ni kukosa wapangaji au pesa.