Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
lets go head to head, do you have4k streaming cameras? do you have a VAR?Ok, list two features that make Arusha more modern than Talanta. Just 2 please.
Sio modernity we jamaa, Allianz Arena ishapitwa na wakati bro, huwezi kusema Allianz Arena ni modern kuliko Arusha stadium utaonekana chizi, ila ukisema Allianz Arena iko more advanced kwenye facilities utaeleweka, hiyo ina facilities zooteee.Yet no Stadium in Africa comes close to it in terms of modernity.
uwe unalipia upewe more accurate info
Sasa hizi article si zimejaa kule Google mzee, kwn c hata ukiuliza ipi nchi ina usafiri bora wa reli kati ya Tanzania na kenya utaambiwa Kenya, kwasabu wakenya mme invest sn kwenye mitandao lkn ukija ground unakuta mambo ni tofauti.
Uyo fala dont take sense to him, ni chokoraa, nshamwambia ALipie AI mpaka leo hana elaSasa hizi article si zimejaa kule Google mzee, kwn c hata ukiuliza ipi nchi ina usafiri bora wa reli kati ya Tanzania na kenya utaambiwa Kenya, kwasabu wakenya mme invest sn kwenye mitandao lkn ukija ground unakuta mambo ni tofauti.
we ni fala kwel, sasa alianz arena na arusha stadium nan ana modern stadium design?Yet no Stadium in Africa comes close to it in terms of modernity.
Anakuja kuweka picha za Al thumama eti anauliza na huu je? Yn haoni kama hii ni kofia imewekwa hapo chini, ye anafikiri hili pia ni box kama hivi viwanja vya ki AfricaUyo fala dont take sense to him, ni chokoraa, nshamwambia ALipie AI mpaka leo hana ela
View attachment 3625346
Even alianza arena doesnt look modern kama arusha stadium, but we understand because that cowshed in ngong is the only thing you have ever seenOoh Arusha "LOOKS" More modern , sawa I'll give you that,
the angular mabati does look more futuristic like Mercedes Benz stadium usa
huyo dogo ni chokoraa hujaona picha zake alivokaa? ni wale waliojaribu kilimo jembe likamrarua sasa mpaka leo akili haijakaa sawaAnakuja kuweka picha za Al thumama eti anauliza na huu je? Yn haoni kama hii ni kofia imewekwa hapo chini, ye anafikiri hili pia ni box kama hivi viwanja vya ki Africa View attachment 3625348
Huo ndiyo ukweli, watu siku hz wanaumizwa vichwa kuja na vitu vipya, ubunifu na ndiyo mana unaona jiwe la tanzanite lipo hapo chiniOoh Arusha "LOOKS" More modern , sawa I'll give you that,
the angular mabati does look more futuristic like Mercedes Benz stadium usa
kwan hamjui talanta roof ni plastic? pure condom rubber?Ooh Arusha "LOOKS" More modern , sawa I'll give you that,
the angular mabati does look more futuristic like Mercedes Benz stadium usa
madame hakuna uwanja Afrika hii una modern out design kushinda ule wa arusha usione umekaa tu pale arusha ukaona kama cowshed lenu, ile design ni world class, btw ushamaliza kunyonyesha?
So ukiambiwa useme reasons mbili why Arusha is more modern than Talanta unakasirika? Wewe ndio iko na reasoning za kitoto.We jamaa hebu achana na mm, reasoning zako za kitoto sana.
huyo chokoraa hajuagi kitu kwahio tunamdunda ivo ivo, ni kachokoraa flan dont mind himAllianz Arena ilikuwa modern kipindi chake, na baada ya Allianz viwanja vingi vikaja na style ile hasa vya Africa, ila kwa sasa design yake imeshapitwa na wakati na ndiyo mana tunasema talanta design yake imeshapitwa na wakati.
mbna mwanaetu kaelezea vizuri, umeambiwa arusha stadium has the most modern outside design in afrika wewe ulikua unaleta ubishi, akakuletea na mercedez benz stadium kuonyesha modern design zikoje wewe umekazia na design ya condomSo ukiambiwa useme reasons mbili why Arusha is more modern than Talanta unakasirika? Wewe ndio iko na reasoning za kitoto.
alafu we mbna kila sku tunakufundisha apa quality things bado tu somo halijaingia?So ukiambiwa useme reasons mbili why Arusha is more modern than Talanta unakasirika? Wewe ndio iko na reasoning za kitoto.