Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hizi article si zimejaa kule Google mzee, kwn c hata ukiuliza ipi nchi ina usafiri bora wa reli kati ya Tanzania na kenya utaambiwa Kenya, kwasabu wakenya mme invest sn kwenye mitandao lkn ukija ground unakuta mambo ni tofauti.
Hata wewe umekubaliwa kuleta article inasema that Arusha is more modern than Talanta Stadium. Hapo umeambiwa Hadi reasons why Talanta is the most modern Stadium lakini bado unataka kupinga.

1000263680.jpg
 
Hata wewe umekubaliwa kuleta article inasema that Arusha is more modern than Talanta Stadium. Hapo umeambiwa Hadi reasons why Talanta is the most modern Stadium lakini bado unataka kupinga.

View attachment 3625356
Ikiwa Arusha unaonekana modern kuliko Allianz Arena ambao mmeiga design yake itakuwaje talanta uwe more than Arusha, ndo mana nkakuambia una reason kitoto. Nadhani ngoja nikuache tu bro.
 
Ikiwa Arusha unaonekana modern kuliko Allianz Arena ambao mmeiga design yake itakuwaje talanta uwe more than Arusha, ndo mana nkakuambia una reason kitoto. Nadhani ngoja nikuache tu bro.
We don't deal with your assumptions. How can a stadium with a running track be more modern than Allianz Arena?😂😂🤣

By the way your feelings won't change the truth.

1000326175.jpg
 
So ukiambiwa useme reasons mbili why Arusha is more modern than Talanta unakasirika? Wewe ndio iko na reasoning za kitoto.
first reason, kuna skai box unaangalia mpira kwa kuruka ruka, where else have you seen? only in naislum
1783545642844.png
 

Huyu jamaa aisee kumbe ana utoto mwingi sana, kaingia Google kakutana na hii 👇👇
Screenshot_20260709_001521_Google~2.jpg
Screenshot_20260709_001530_Google.jpg


Sasa alichokifanya yeye akachukua screenshot inayoelezea kitambo icho wakati hata talanta haijaanza kujengwa wala Arusha stadium haijaanza kujengwa ndo kapost humu, ila ukiuliza Google sahizi inakuambia Arusha stadium ndiyo the most modern stadium in the region as for now, then unafuatia talanta, Amahoro, zen mkapa.
 
Huyu jamaa aisee kumbe ana utoto mwingi sana, kaingia Google kakutana na hii 👇👇View attachment 3625369View attachment 3625370

Sasa alichokifanya yeye akachukua screenshot inayoelezea kitambo icho wakati hata talanta haijaanza kujengwa wala Arusha stadium haijaanza kujengwa ndo kapost humu, ila ukiuliza Google sahizi inakuambia Arusha stadium ndiyo the most modern stadium in the region as for now, then unafuatia talanta, Amahoro, zen mkapa.
Hii kwao ndo modern, si unajua hawajawahi kuona anything outside that

View: https://www.youtube.com/watch?v=5-eU51fwMGM&pp=ygUNdGFsYW50YSBncmFzc9IHCQlPCwGHKiGM7w%3D%3D
 
Back
Top Bottom