Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huu mradi kwetu hauna faida kama tutatoa protections zote hizo na kuleta a monopoly kwenye oil market
Leo hii tena hakuna faida yet mlikuwa mnaitaka? You even analysised and concluded that Tanga ndio itawekwa😂😂

Hakuna refinery itakayojengwa Mombasa Tanga is the only choice because kwanza kuna:
1. Landing site ya Ug oil and export terminal
2. Umeme wa kutosha
3. Ardhi ya kutosha na at low cost.
4. Pia in Tz kuna oil pipeline to Zambia can serve Malawi and DRC
5. No extra cost such as pipeline as in the case for Mombasa or shifting crude by ship from Tanga to Mombasa for refining.

All logistics favour Tanga
 
Ila bado refinery itajengwa Tanga kama kuna hiyo plan mark my words.
Mimi kinachonichekesha ni serikali ya Tanzania haijawahi kupiga kelele kuwa Dangote atajenga au anajenga refinery Tanga na ndio maana siku ile rais akamuuliza kaongo, ni kelele za wakunya na rais wao, iweje sasa washangilie like walikuwa wanashindana na Tanzania! 😂😂😂
1783673339490.png
 
View attachment 3626263
Hii kitu nilishawahi kusema hapa,refinery tanga itajengwa tu
 
Mimi kinachonichekesha ni serikali ya Tanzania haijawahi kupiga kelele kuwa Dangote atajenga au anajenga refinery Tanga na ndio maana siku ile rais akamuuliza kaongo, ni kelele za wakunya na rais wao, iweje sasa washangilie like walikuwa wanashindana na Tanzania! 😂😂😂
View attachment 3626263
No one will fund your refinery. Take that to the bank.
It will never be economical in this region to put up another refinery for many years. Unless your government shuts down oil imports from Lamu.
And even then, Bongolala will never export a single barrel at a profit. So, maybe just a domestic refinery.
Dangote's scale will run everyone out of business 😂😂
 
Anayeandika hivi anatokea nchi ambayo haiwezi kujenga hata km 1 ya barabara bila kukopa. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom