stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Mwanaetu mbna kama dongo ilo maaana kuna watu ni 8 hrsEMU TZ,
3hrs Dar to Dom , 450km
![]()
107K views · 1.7K reactions | SGR TRAIN-Tanzania The Electrical Multiple Unit (EMU) is an electric passenger train. It is currently the only EMU operating in East and Central Africa. The train makes five trips per day between Dar es Salaam and Dodom
SGR TRAIN-Tanzania The Electrical Multiple Unit (EMU) is an electric passenger train. It is currently the only EMU operating in East and Central Africa. The train makes five trips per day between...www.facebook.com
What’s unique about these pictures?Kitu kuhusu Tanzania, sisi maendeleo yako distributed everywhere kuanzia East, West, Central, North, North East, North West, South, South East, South West etc
Tofauti na Kenya ambayo ukichora straight horizontal line katikati na kusplit Kenya into two, utagundua all the good stuff zinapatikana in the lower half. The upper half imejaa maeneo masikini na mabaya sana kama Wajir, Mandera, Turkana nk. Mko na maeneo mabaya ambayo yanafanana kabisa na South Sudan. Tanzania hakuna ujinga huo
Hii ni Mbeya, 900km from Dar, South West of the country (Southern Highlands) and still ni pasafi na pamestaarabika kuliko takataka mlizonazo Kenya, especially the whole upper half, meanwhile sisi hatuna maeneo takataka kama hayo
📍Mbeya
View attachment 3637751View attachment 3637750View attachment 3637752View attachment 3637753View attachment 3637754View attachment 3637755View attachment 3637756View attachment 3637758View attachment 3637759View attachment 3637760View attachment 3637761View attachment 3637762View attachment 3637763View attachment 3637764View attachment 3637765View attachment 3637766View attachment 3637767View attachment 3637768View attachment 3637769View attachment 3637770View attachment 3637771View attachment 3637772View attachment 3637773View attachment 3637774View attachment 3637776View attachment 3637777
Hio floor imekorogewa tu hata heri wangeweka terrazzo
Bruhh 🤦🏼🤦🏼What’s unique about these pictures?
Kijana ya Mbeya, you might wanna do a bit of research before making a fool out of yourself.
There are several factors and dynamics affecting growth or population density of certain areas of a country as opposed to the other and this natural rule has applied since human existence and still does all over including in the good ol’ US of A View attachment 3638005
UAE
View attachment 3638006
MDG
View attachment 3638191
Brutal 8hrs , Halafu seats ni Kama Mbao, Ngumu balaa, njia ya reli ni jointed, train ni nginjanginja la mwaka 1976 linatumia fossil fuel linanyata speed ya 53km/hrMwanaetu mbna kama dongo ilo maaana kuna watu ni 8 hrs
Sasa floor ina shida gan madame, terrazzo si mngeweka kwenye nyasi mfiche zile gapsHio floor imekorogewa tu hata heri wangeweka terrazzo
Na nauli yake sasa utachekaBrutal 8hrs , Halafu seats ni Kama Mbao, Ngumu balaa, njia ya reli ni jointed, train ni nginjanginja la mwaka 1976 linatumia fossil fuel linanyata speed ya 53km/hr
Reli ya SGR ya Tanzania ni continuous welded , kuna wakati EMU zinaenda hadi 180km/hr na ukiwa ndani huhisi kitu, just calm, comfort and smooth ride,
Kwanza picha linaanza dude la wakunya limepanda hewani hatari unahitaji ngazi kupanda
View attachment 3638196
View attachment 3638197
We endelea kuwaza floor ivo ivoHio floor imekorogewa tu hata heri wangeweka terrazzo
Kwani ya Talanta imekamilika?😀😀😂.
Both are still under construction and the quality difference can be clearly seen.
Arusha Low budget interior
View attachment 3638098View attachment 3638099
Talanta high quality interior.
View attachment 3638100View attachment 3638101