Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkiambiwa ukweli mnasema mtu anakaza. Yani raisi wenu haongelei refinery yet yeye ndio alisoma MoU pamoja with your energy minister. Lakini tumbili kama unajifanya as wewe ulikuwa hapo🤣🤣😂
sisi si tumeshakubaliana haijengwei ama umebadilisha tena msisamo 🤣 🤣 tumesema haijengwi lakini ambayo haina crude source itajengwa, ndo tulikubaliana ivo last time kabla hujaenda kulia
 
Ooh, kumbe ni refinery ya Dangote yenye itajengwa Lamu? Thanks for reminding us🤣🤣😂
yeah its the one, infact he was very quick kwenda uganda to get free flowing crude
1786050351880.png
 
Back
Top Bottom