Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkiambiwa ukweli mnasema mtu anakaza. Yani raisi wenu haongelei refinery yet yeye ndio alisoma MoU pamoja with your energy minister. Lakini tumbili kama unajifanya as wewe ulikuwa hapoπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
sisi si tumeshakubaliana haijengwei ama umebadilisha tena msisamo 🀣 🀣 tumesema haijengwi lakini ambayo haina crude source itajengwa, ndo tulikubaliana ivo last time kabla hujaenda kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…