Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna uwezo wa kumaintain Natural grass kwahio tuliza urethra, alafu Hybrid Amaana stadium were the first in the region to use na amna sehem kulikua na kelele
Tuonyeshe picha ikiwekwa, kama huna picha basi tuonyeshe videoπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
leo utanyoosha sentensi zote πŸ˜‚ πŸ˜‚ mpaka upupu
 
International sources zinakwambia hybrid grass technology ilishakuwepo Tz kitambo kabla nyie mjue iko, ss kuhusu video ndo utafute.
International sources ni hiyo Instagram? So ikiwekwa hakukuwa na mtanzania yeyote hapo to an extent that we must only rely on international sources?πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Bongolala, it works in unison with the stitching machine. Ama wewe unadhani hizo nyuzi zinatoka wapi?

Ama unadhani hiyo machine ni tractor inalima shamba la mihogo?

Jiandae kuona picha kama hizi uwanja mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…