stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Rudisha intestine kwa waliokutuma, white elephant na uwanja zilizopo hazitoshi imefika stage timu 4 zote za CAF znaviziana uwanja mmojabaada ya afcon inabakia white elephant yani sisi sijui viongozi wanafkiria nn
huwa tunawashangaa mnavyoshoboka na wazungu. I’ve personally lived in a corporate for years so najua utamaduni wenu wa kusujudia wazungu, na hii imeenda mbali zaidi kiasi cha kuaujudia hata wahindi mabosi zenu sababu ya stupid & Blind capitalism policies your senior land grabber Jomo Kenyatta adapted .Huwa mnatuita wazungu weusi wakati nyie ndio wazungu weusi Shida tu kizungu hamkijui. Yani rangi yenu Waafrika Ila huko kwenu mnaiona Kama matusi. Mtanzania akitaka kukutusi atakuita mweusi utadhani Kwao ni wazungu. No wonder Shida ya kujichubua IPO sana huko Bongolala. Yani hamjipendi kabisa. Mnatamani mngekuwa wazungu. Sometimes I read some of your country men's comments on social media and I'm astonished with the self hate - na vile mnapenda kutuita wazungu weusi Kumbe ni projection tu. Muone huyu hapa kwa mfano:-
View attachment 3679458
Hizi ni pumba tupu.I know you are a bongolala but I didn't expect you to be this thick!
When we say 10% of Dar is connected to sewer system, hatumaanishi Dar land mass. We simply mean households Nyamwezi. Dar is 1600 square meters but we know there are areas within that boundary that do not even have houses, ni mashamba za mihogo and shrubland.
The 40% figure in Nairobi represents a much bigger figure coz Nairobi is built up in almost every section.
Now do the math again and come back later
Stop lying bro. 😂😂😂huwa tunawashangaa mnavyoshoboka na wazungu. I’ve personally lived in a corporate for years so najua utamaduni wenu wa kusujudia wazungu, na hii imeenda mbali zaidi kiasi cha kuaujudia hata wahindi mabosi zenu sababu ya stupid & Blind capitalism policies your senior land grabber Jomo Kenyatta adapted .
Siku moja nilikuwa bar moja pale Sandton , wale wahudumu walikuwa wanapuuza meza yetu sababu sisi ni waafrica wakawa wanahudumia tu meza za wazungu, that’s typical you Kunyans.
Nikukumbushe tu , Kenya lilikuwa koloni la mwingereza, hata leo ni koloni la mwingereza, and eventually marekani,
Tanzania haikuwa koloni la mwingereza
ndio maana we do show anyone the good middle finger without giving danm rat’s ass. Yaani siku ile ulisikia Samia Suluhu Hassan anaambia marekani “Who are You” haikuwa bahati mbaya, that has been the practice.
sisi tuliletewa ile siasa ya vitol bahrain 🤣🤣
View: https://x.com/kenya_ports/status/2103865865535889588?s=46
Wewe utamuweza wapi mtanzania anaejua kiingereza matako wewe, kiswahili chenyewe hujui, kiingereza cha kuokoteza okoteza ( kiingereza cha mafungu) chenye accent ya kidwanzi kama unachoongea wewe, unadhani utamtisha nani humu.? 😂😂😂Stop lying bro. 😂😂😂
Tanzanians hate being African. Mtanzania akikutusi atakwambia wewe no mweusi. Hata hicho kiingereza mkijofunza mnataka kuongea na accent ya wazungu alafu mnakaa mafala. Huku Kenya huwa tunawasema that mnajifunza accent kabla mjifunze kiingereza chenyewe. Unalia mtu anasema 'woraa' wakati kiingereza chenyewe ni broken.😂😂😂