Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulitaka iweje? Tulia mzee Dangote asikutishe! Museveni ndiye kashika mpini!
jamaa alikimbilia kwa m7 mapema sana 🤣 🤣 akajua kapata dodo
1790539966782.png
 
Huyu dada bwana huko Ticktock ameimwagia maua yake Bongo.com mixer kuita wazungu waingizane bongo for the better living. Soma sasa comments za wanuka mavi, kumamaezao hawa shetani wasivyotupenda. 👇🏾
View: https://vt.tiktok.com/ZSb6SuAA6/. View attachment 3679479View attachment 3679480View attachment 3679481Mind you, huyu dada wa kiamerika hajata Kenya popote kwenye maongezi yake, lakini cheki hizo roho mbovu za wanuka mavi

Why are these fools hating on us.? Wanuka nnya. 😂😂😂

Niliandika leo mchana.
Shida ni umasikini bro, huwezi kuta Mtanzania anahangaika na post ambayo haijataja Tanzania. 😂😂😂
Hawa wakunya wana matatizo ya akili, nimekuta video Tiktok mwenzao amepanda Air Tanzania, kufungua comments section wanamind kwanini amepanda Air Tanzania.
Enyewe umasikini sio poa. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom