Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa namna ninavuojua akili za Wakunya wamekurupuka tu kutangaza bila hata kishirikisha Tanzania kwanza, Same thing happened kwenye issue ya Tanga refinery. Very unprofessional. I don’t know how many times do we have to tell this clown on the importance of engaging stakeholders in such matters .
And this is not going to happen.
 
Talanta Mini Stadium.
11.jpeg
 
I'm having this discussion with people who can converse in English for an entire day without switching to another language, Mr. Baboon. I'm not going to waste my time arguing with someone who can't even string together a single written paragraph in English without making basic grammatical mistakes.
😂😂😂 asa nani atashindwa kuongea kiingereza siku nzima wewe .? Shenzi nini. Kubwa lakini akili kisoda, refuu halafu hazimo kichwani.. very stupid. Kiingereza chenyewe unaongea cha mafungu mafungu, hujui kiingereza wewe .. bahati yako umefuta zile videos kwenye kale ka account kako ka ticktock unazojifanya unaongelea siasa ningepost humu watu waskie tahira wanaejibizananae kama anatosha kupewa hiyo airtime.
 
Mm siku hizi napita nasoma comments hata ham ya battle sina tena maake ilasha kuwa ya kitoto ukiona mtu anaandika Ela badala ya Hela unatakiwa ujiulize najadiliana na nani kuna wengine hapa ilikuwa Mama anaupiga mwingi siku hizi siwaoni tena au ndugu zao walifyekwa 29# mambo ni mengi mzee mwenzangu acha tuone tutakapo ishia tunawacheka wakenya lakini nasisi tunaelekea huko huko mikopo mingi inaishia kwa watu na familia zao hakuna wa kuuliza serikali haiheshimiki tena kwa wananchi
unawacheka wenzio wakat maelfu ya machina hawana pakwenda na mitaji yao imevunjwa vunjwa hujui kama wanarudi mitaani kama ma jobless???

View: https://x.com/hildanewton21/status/2103767016997814302?s=46




haya ndio mambo tunayofurahia au sio

View: https://x.com/swahilitimes/status/2103840880180301894?s=46




maskini nchi yangu sijui imepatwa na nn🥺

 
Back
Top Bottom