Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1000408041.jpg
 
Just compare that handsome man with this baboon alafu uniambie nani anaweza Tisha mwengine.
View attachment 3680047
Huwezi kujifananisha na mimi mjomba, nikiweka picha nilizopiga mwaka huo huo, 8 years ago kuanzia mavazi na kila kitu bado upo below my standards. 😂😂😂. Even the one you posted ni kwasababu imeisha quality lakini hiyo shati niliyovaa hupo sio sawa na shati za maronya ronya unazovaa even now .
 
Hii game tungelose wangekuwa wamejaa huku wakitwambia vile football is the only sport worth investing in.🤣🤣🤣
Hapo ndio kwanza preliminary stage mnapiga kelele!?
-Taifa stars women wamepeleka timu mashindano makubwa.
-Afcon u20 Tanzania ndio imefika nusu fainali ilhali Kenya kaishia hatua ya makundi.

Msisahau mli draw na katimu kadogo Eritrea.
 

You really don’t know much about distance running… Ethiopia is good but not as good as Kenya. Kenya holds both the women and men World records in marathon.
Plus the just concluded world road racing championships in Copenhagen, Denmark of which Tanzania participated fully , Kenya won the overall world title ahead of Ethiopia in both men and women and included a new women world half marathon record by Agnes Ngetich . This was just last week and we never even posted the news here since we are used to winning 😜😜😜😜
 
Utaskia we lead in tech, sijui innovation, ukiukiza what have they innovated labda flying toilets.
Mwaka jana ndio wamejikakamua wamehamia kwenye digital driving lisense. Kitu sisi tumeanza kutumia tangu 2000s huko
View attachment 3678020
Wao kuwa na Google HQ na Lipa namba yq Mpesa imewatosha kabisa kubweka dunia nzima
 
punguza mbege, infact unajua nan kabeba CECAFA the most? huu mwaka wenyewe tu umepigwa ~11 matches for 2026 alone
Still hot air. Records can’t be altered. For a so called Football nation, you are not better than Kenya …and those are facts 💯
IMG_9932.jpeg
IMG_9933.jpeg
 
Huwezi kujifananisha na mimi mjomba, nikiweka picha nilizopiga mwaka huo huo, 8 years ago kuanzia mavazi na kila kitu bado upo below my standards. 😂😂😂. Even the one you posted ni kwasababu imeisha quality lakini hiyo shati niliyovaa hupo sio sawa na shati za maronya ronya unazovaa even now .
Of course I can't compare myself to you Mr. Mbilikimo. I can literally employ you and pay you a salary, why would I compare myself to you? You are not even close. The closest you can get to me is on this forum - you wouldn't even be confident to meet me and have a conversation. Winners win, losers explain. You went out of your way to find my photos and post them here - captioning that "Siwezi kukutisha" which is a very low esteem tactic btw, I posted your photo against mine that you posted and asked a simple question - between these photos nani anaweza tisha mwengine? The fit, tall, dark, and handsome guy or the dwarf struggling kid? It's that simple bro. 😂😂
449742-jpg.3680047
11.jpeg
 
Back
Top Bottom