They will never recover 😂This Dangote project has thrown off the entire Bongolala kingdom .. they are wobbling like chicken without heads …🤣🤣🤣🤣
😁 wanangoja kujengewa refinery na wazungu.They will never recover 😂
Mzungu mgani atakubali kujenga refinery in a region that has a refinery that can serve the whole region and still keep pocket change.😂😂😂😁 wanangoja kujengewa refinery na wazungu.
Dangote just made building of another refinery in EA less viable, just by its capacity.
projects zingine ni theory kwa sasa, Lamu refinery is the only one under construction.
Awe mzungu,awe mhindi but tanga refinery itajengwa,halafu kizuri zaidi tanga tayari crude oil ipo tayari so wala atutoumiza kichwa pakupata oil 😃😃😁 wanangoja kujengewa refinery na wazungu.
Dangote just made building of another refinery in EA less viable, just by its capacity.
projects zingine ni theory kwa sasa, Lamu refinery is the only one under construction.
Hakuna refinery inajengwa Tanga.Awe mzungu,awe mhindi but tanga refinery itajengwa,halafu kizuri zaidi tanga tayari crude oil ipo tayari so wala atutoumiza kichwa pakupata oil 😃😃
Wewe unajali kwanini.
30% ikiwekwa kwa soko, the only thing EAC wanapewa ni priority.
Lakini haimaanishi wengine watafungiwa. Pesa ni pesa.
Soko la Kenya pekee yake itanunua zote kama zitabaki.
Znz imeshapata it’s first 6 lanes road before mombasa n the called cities in kunyarenda republic.
View: https://vt.tiktok.com/ZSbACUkAk/.
Huu ndiyo uwanja wangu namba moja kwa uzuri East and Central Africa.hawa jamaa wataanza nyasi na bado ngong hazijamaliza kuota 🤣
View attachment 3681491
Wakenya kwa jua kali projects mko njema wallahi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Talanta stadium commuter railway line
View attachment 3681617View attachment 3681618View attachment 3681619
Na uko beach 🔥🔥🔥🔥Huu ndiyo uwanja wangu namba moja kwa uzuri East and Central Africa.
Wakenya kwa jua kali projects mko njema wallahi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mchawi unaumia ukisikia refinery tanga,mu7 mwenyewe jana kasema,yan kwa akili Tanzania haina plan ya refinery,we kweli maku,tanga refinery itajengwa mtake msitakeHakuna refinery inajengwa Tanga.
Museven kawaambia kabisa saudi arabia kuna refinery 9,so aoni hata ajabu tanga na hoima kuwa refinery 😃Hahaha... Haya chukueni zote. Na hiyo refinery msije kuinasibisha na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hiyo ni ya lamu kunyaland. Kwishaaa... Mambo ya kutaja East Africa region kwenye hizo ndoto za kitandani hautaki. Na Mzee Museveni aliwaeleza peupe.
Na hakukuwa na muwakilishi mwingine kutoka Jumuiya aliezungumza hapo. So, Msimamo wa Mzee ndio Msimamo wa wanajumuiya wengine.