Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huu mradi mbna una changamoto kila sehem, no one can explain exactly whats going on 🤣🤣🤣🤣

View: https://x.com/ConradKulo/status/2105291791054352509?s=20

Nataka ujaribu kutumia akili yako leo independently, please estimate the number of direct employees this facility could have when operational. Ignore during construction and indirect employees
F3DF1C54-C073-45C2-8C7A-9D5BE2B1208A.jpeg
 
Mchawi unaumia ukisikia refinery tanga,mu7 mwenyewe jana kasema,yan kwa akili Tanzania haina plan ya refinery,we kweli maku,tanga refinery itajengwa mtake msitake
Mwenye angejenga refinery Tanga ndio hiyo kashaanza kujenga Lamu, so who will built another one in Tanga?😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣now you are hating on entire Nigeria juu ya Dangote 😆😆😆😆
hate aje? 🤣 🤣 🤣 🤣 kwan wakati mnajiandaa kujenga hamkujua mnatoa wap crude 🤣🤣🤣 saaahv mnamchukia m7 bure, if i were you, ningempa tu 30% free shares atupe access to oil, but since you all are fools mlianza mbwembwe bila kujua mnatoa wap crude, saahv president anatamani kucheka but hawezi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom