Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nan anagombania wawekezaji? 🙆‍♂️ 🙆‍♂️ wawekezaji wapo kwa ajili ya sector ambazo bado ni ngumu kufanyika na wazawa na sio kuja kujenga hoteli, we fala nn, yaani utoke nje uje kujenga appartment useme umefanya uwekezaji, alafu hao slum members ela watoe wap?
huyo dangote unafkiri haijatuuma mpaka mukaenda kulmleta vitol iwe danganya toto mufunike maumivu ya kuchukuliwa tonge mdomoni alaf unaongea nn hapa😂😂😂😂
 
Endelea kishangilia kampuni ta Mwarabu. By the way how do acquisition of Oryx energy by Amsons help the ordinary Tanzanian?

Mbona unalia sasaa!?

Mimi nasifia uwekezaji wa Mtanzania Amsons.... Kupitia Mtanzania huyu anajifanya Tanzania kuwa energy hub. wewe Sifia Dangote anavyopiga Hela hapo kunyaland na kupeleka Hela Nigeria. Kama mnavyonunua hisa hapo ili afanye upanuzi wa refinery yake pale Lekki Nigeria.

Unataka kujua faida kwa Mtanzania? Weka market share na distribution network ya Oryx's then utajua katika mnyororo huo Tanzania itafaidika vipi... Kuanzia mkulima na mazao yake na mfugaji vile wanawalisha hapo kunyaland na Nchi nyingine za jirani
 
huyo dangote unafkiri haijatuuma mpaka mukaenda kulmleta vitol iwe danganya toto mufunike maumivu ya kuchukuliwa tonge mdomoni alaf unaongea nn hapa😂😂😂😂
Tuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyang’anywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
 
what ever hata iwe million 100 still haivunji kua unapoteza 750m kwa ajili ya 100m ni akili au makamasi😂😂😂😂😂😂😂

haya so far imetusaidia nn kama taifa ???? alaf tunashabikia upuuzi wakat nchi ina shida za kila aina
Miss grand ni taji mkubwa, wala sio hela. Unajua team za EPL for instance zinawekeza sh ngapi.? pesa za kulipa wachezaji kila wiki, maintenance za viwanja vyao, gharama za usafiri, malazi ya wachezaji wakiwa kambini, na experience zingine.?

Je kombe linathamani kuzidi gharama wanazotumia kushindania.?
 
taji kubwa la kutoka wapi? au ww unahisi kila mtu anaakili za kichawa tu, limesaidia nn kama taifa zaidi ya kwenda kuwakusanya mashoga wa jijini na machangudoa wa sinza na kinondoni kwenda kukata mauno airport, au ww unahisi walienda bure wale?
 
Tuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyang’anywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
dangote aim yake ilikua tanga lakini kiongozi anaulizwa anasema hana taarifa unategemea hilo tonge litakaa likusubiri uwe na taarifa ? tuongee ukweli bila uchawa hio project imetuuma ndio maana kuzima huo moto tukaandaa vitol aje tufanye maigizo ya danganya toto ili kutuliza maumivu na presha za watanzania
 
Miss grand ni taji mkubwa, wala sio hela. Unajua team za EPL for instance zinawekeza sh ngapi.? pesa za kulipa wachezaji kila wiki, maintenance za viwanja vyao, gharama za usafiri, malazi ya wachezaji wakiwa kambini, na experience zingine.?

Je kombe linathamani kuzidi gharama wanazotumia kushindania.?
Duh kwahio timu za EPL zinashiriki ili zipate kombe tu?! Ha ha ha kazi ipo.
 
Tuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyang’anywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
Tuache sababu za Dangote kutowekeza Tz maanake kila mtu anasema lake. Honestly unataka kusema Dangote angewekeza Tz tusingenufaika? Na kuacha kuwekeza Tz hatujapoteza kitu?
 
Point of correction, "...uwekezaji WA Mwarabu...".

Wewe endelea kulia tuu... Sina Cha kukusaidia hapo!

Uwekezaji wa Amsons ni faida kwa Tanzania. Kama pia Taifa gas inavyochukua soko la Gas kunyaland na kuirudisha pesa nyumbani Tanzania.
 
Endelea kushangilia Mali za warabu. Watanzania genuine like you what you do better is gossiping and begging.
 
mm hata ukinijua itsaidia nn, au ndio italeta maendeleo 😂😂😂😂😂😂 picha zangu na personally ndio itasaidia nn
I’m glad you are now seeing your people the way we have been doing so for the last 10 years (very thick headed) 🤣🤣
 
dangote aim yake ilikua tanga lakini kiongozi anaulizwa anasema hana taarifa unategemea hilo tonge litakaa likusubiri uwe na taarifa ? tuongee ukweli bila uchawa hio project imetuuma ndio maana kuzima huo moto tukaandaa vitol aje tufanye maigizo ya danganya toto ili kutuliza maumivu na presha za watanzania

Tuache sababu za Dangote kutowekeza Tz maanake kila mtu anasema lake. Honestly unataka kusema Dangote angewekeza Tz tusingenufaika? Na kuacha kuwekeza Tz hatujapoteza kitu?
Uzuri nyie wote ni wakubwa zangu humu na ni watu ninaowaheshimu..

Dangote angewekeza ni sahihi kuwa tungepata faida, lakini ujio wake ulikuaje.? Je ilikua sahihi sisi tuwekeze na Kenya kajipenyeza humo humo.? Hata huyo museveni asingekubali kupigwa collabo na mafuta yake.. Dangote ni miwekezaji ambae aliletwa na wakunya ndio walianza kumpiga sound, serikali ilikua sahihi kumpiga za uso kwa maslahi mapana yetu sisi Tz pamoja na mshirika wetu UG .. huoni sasa tunayo room ya kujenga wenyewe bila kelele.?
 
mbna ndo nairobi hio, unaitukana tena 🤣🤣🤣
View attachment 3696375
Kumbe hii vumbi umeshinda ukiimba kila kukicha ni projection ya your own village of mbeya issues 🤣🤣🤣
IMG_4700.jpeg
IMG_4701.jpeg
IMG_4702.jpeg
 
Endelea kushangilia Mali za warabu. Watanzania genuine like you what you do better is gossiping and begging.

Watanzania genuine Sasa hivi ndio tunapangilia sera za vijana wa kunyaland hapo. Kijana wetu Isaya anamtuma Charlene kumpangia Kasongo namna atawapanga mafala wa slums.
 
Uzuri nyie wote ni wakubwa zangu humu na ni watu ninaowaheshimu..

Dangote angewekeza ni sahihi kuwa tungepata faida, lakini ujio wake ulikuaje.? Je ilikua sahihi sisi tuwekeze na Kenya kajipenyeza humo humo.? Hata huyo museveni asingekubali kupigwa collabo na mafuta yake.. Dangote ni miwekezaji ambae aliletwa na wakunya ndio walianza kumpiga sound, serikali ilikua sahihi kumpiga za uso kwa maslahi mapana yetu sisi Tz pamoja na mshirika wetu UG .. huoni sasa tunayo room ya kujenga wenyewe bila kelele.?

Ni simple tu. kama ni Dangote alitaka kuwekeza Tanga, aliongea na nani hapa Tanzania? Yani unataka kuwekeza Tanzania ila unaenda kuongea na kiongozi wa kunyaland!?
 
Back
Top Bottom