Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisii
1000026429.jpg

Eldoret
1000026413.jpg
 
Mzee. Siasa zako hizo za maji taka sizitaki. Unaujua moto wangu, nikikugeuzia kibano ninauhakika utaniweka kwenye ignore list. Ninakujua personally na picha zako ninazo. Usinijaribu.
Acheni mambo hayo.
Hakuna haja ya ku-go offensive dhidi ya watu walioa amua kuwa tofauti na kuungana na wakenya. Hao watapoa.

Mimi.pia simkubali Samia na unajua hili but siwezi take that offensive route dhidi ya nchi na watu.
 
About $2 billion injection into kenya with this move excluding the refineryView attachment 3696312
we ndo fala la mwisho 🤣 🤣 🤣 Hata nigeria where he originates havent done such as stupid thing, alafu hakuna something like injection, he is there to do business make a profit and return back his money plus non ending profit even after his investment money is back
 
Also Boss wa Miss Grand International huyo Mthailand aliyekuja Tanzania ni mmoja wa Maboss na wamilik wa Miss Universe

Toka Kibera mdogo wangu, unapitwa na mengi
So Howz that to do with anything. If the boss of Simba sports bought Kigoma FC does that make Kigoma same level as Simba ?… wacha Ujinga …🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzee. Siasa zako hizo za maji taka sizitaki. Unaujua moto wangu, nikikugeuzia kibano ninauhakika utaniweka kwenye ignore list. Ninakujua personally na picha zako ninazo. Usinijaribu.
mm hata ukinijua itsaidia nn, au ndio italeta maendeleo 😂😂😂😂😂😂 picha zangu na personally ndio itasaidia nn
 
Huna facts zozote, unaandika uongo na kutaka kuchafua watu usiowajua.
I told you ninakujua binafsi. Na tulishawahi kukutana mara kibao tu lakini wewe hunijui
wewe kunijua haisaidii kuleta maendeleo wala haitosaidia kupunguza umaskini. tuishi na tuongee uhalisia wa sasa, mm sina muda wa kukujua ww kwasababu huna faida kwangu mzee, niache kumjua demu wangu nikujue wewe 😂😂😂😂😂😂
 
Hiyo budget ya 750m iko wapi?

Share hapa ushahidi nikusaidie kupinga.
unaniuliza mm kaulize wapiga kura kila kichwa kimoja 2800 tsh na pesa zilimwagwa mitaani na vocha za bundle juu alaf tumepata faida gani in return? mke wa gsm pekee alitoa zaidi ya 25m vipi matajiri wengine na serekali kwa ujumla?
 
Back
Top Bottom